ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
- Thread starter
- #21
5 m utalima heka 5 kule kwenye mashamba ya shirika ila lazima uwahi kuomba vibali vya kukodi. Heka 5 itakupa returned gunia 30 kwa kila heka ambazo jumla zitakua gunia 150. Ukiuza kuanzia mwezi wa 8 gunia 1 ni sh laki 1 ukifika December gunia 1 ni 150. Faida ipo kubwa tu.Hongera sana mkuu!
Kweli ukithubutu unaweza!!
Ko nikija na 5million naweza kukodi na kulima shamba kiasi gani hela yangu ini accomodate mpaka mavuno?
Kweli kilimo cha mpunga hakika stress sana hasa huko kwenye facilitilies za umwagiliaji. Na uzuri zao lenyewe linahifadhika.
Hata mimi ndio najifunza hivi sasa kama una maswali ambayo sina majibu basi ntauliza wadau hapa kwa info zaidi. Karibu sana