Mrejesho: Kuagiza rice combine harvester toka China

Hongera sana mkuu!
Kweli ukithubutu unaweza!!
Ko nikija na 5million naweza kukodi na kulima shamba kiasi gani hela yangu ini accomodate mpaka mavuno?
Kweli kilimo cha mpunga hakika stress sana hasa huko kwenye facilitilies za umwagiliaji. Na uzuri zao lenyewe linahifadhika.
5 m utalima heka 5 kule kwenye mashamba ya shirika ila lazima uwahi kuomba vibali vya kukodi. Heka 5 itakupa returned gunia 30 kwa kila heka ambazo jumla zitakua gunia 150. Ukiuza kuanzia mwezi wa 8 gunia 1 ni sh laki 1 ukifika December gunia 1 ni 150. Faida ipo kubwa tu.

Hata mimi ndio najifunza hivi sasa kama una maswali ambayo sina majibu basi ntauliza wadau hapa kwa info zaidi. Karibu sana
 
kwahiyo gharama ya kukodi ni kiasi gani kwa heka mdau katika mashamba ya shirika
 
5 m utalima heka 5 kule kwenye mashamba ya shirika ila lazima uwahi kuomba vibali vya kukodi. Heka 5 itakupa returned gunia 30 kwa kila heka ambazo jumla zitakua gunia 150. Ukiuza kuanzia mwezi wa 8 gunia 1 ni sh laki 1 ukifika December gunia 1 ni 150. Faida ipo kubwa tu.

Hata mimi ndio najifunza hivi sasa kama una maswali ambayo sina majibu basi ntauliza wadau hapa kwa info zaidi. Karibu sana
Aisee kwa faida hiyo itabidi nijisogeze kunako pande hizo!
Maswali ya nyongeza tafadhari;
1)Vipi kuhusu changamoto za kupata vibarua na storage baada ya kuvuna?
2)Kwahiyo hivi vijini m5 vyangu vitatosha kabisa kabisa kuanzia ununuzi wa mbegu, kukodi ekari5, kulima kwa trekta hadi hallo, kuombekeza/kumwaga mbegu, parizi hadi kuvuna?!!
3)Na je, hii bei ya 275000 ni inclusive hadi kwenye matumizi ya maji au kukodi tu?
Pia naomba ufafanuzi na maelezo zaidi kuhusu kuwahi nafasi ya kukodi kwani kuna kipindi au msimu maalum wa kuapply maombi? Next season ni lini?
 
Usiagize kubwa itakutesa Kwa sababu huku mbeya ardhi ni tope sana Kwa hiyo mashine ikiwa nzito utakua una kwama mashambani kila siku na pia isiwe ya matairi. Ukiagiza yenye tank nayo haina mshiko sana Kwa sababu inapoteza muda kwenda kumwaga mpunga tank likijaa wakati hizi za vipeto hazisimami.

Kuhusu return mpaka msimu wa mavuno uishe ndiyo nitakua na jibu la uhakika kwa sasa naweza sema uongo. Ila karibu kulima mpunga aisee kama una mtaji kwasababu ni zao ambalo linalipa sana bila stress nyingi. Sijawahi kulima mpunga ila kwa hali ninayo iona huku naona kama nimechelewa sana japo nimekua inspired pia.
Hongera sana, kiukweli ndugu sio mchoyo wa mafanikio ya kwa wenzio, nakutakia mafanikio
 
Aisee kwa faida hiyo itabidi nijisogeze kunako pande hizo!
Maswali ya nyongeza tafadhari;
1)Vipi kuhusu changamoto za kupata vibarua na storage baada ya kuvuna?
2)Kwahiyo hivi vijini m5 vyangu vitatosha kabisa kabisa kuanzia ununuzi wa mbegu, kukodi ekari5, kulima kwa trekta hadi hallo, kuombekeza/kumwaga mbegu, parizi hadi kuvuna?!!
3)Na je, hii bei ya 275000 ni inclusive hadi kwenye matumizi ya maji au kukodi tu?
Pia naomba ufafanuzi na maelezo zaidi kuhusu kuwahi nafasi ya kukodi kwani kuna kipindi au msimu maalum wa kuapply maombi? Next season ni lini?
Hiyo pesa inatosha kabisa, kuhusu vibarua wapo wa kutosha tu kuanzia wakati wa kuandaa mashamba mwezi wa 11 mpaka kuvuna mwezi may,June au July .

Ukikodi shamba Kwa bei hiyo wao watu wa shirika huwa wana katua kabisa Kwa hiyo wewe ukija ni kuingiza maji na kuvuruga tu. Storage ipo ya kutosha kwenye hizi mashine za kukoboa na utalipia sh 3000 kwa gunia pale utakapo kuja kulitoa. Kuhusu mchakato wa kukodi shamba ntakua na majibu next week Kwa sababu nipo safarini kwenda mombasa kwa sasa.
 
kipindi cha kilimo vibarua huwa wengi sana kutoka sehemu mbalimbali. huko shiriikani nasikia maji uhakika
 
Hiyo pesa inatosha kabisa, kuhusu vibarua wapo wa kutosha tu kuanzia wakati wa kuandaa mashamba mwezi wa 11 mpaka kuvuna mwezi may,June au July .

Ukikodi shamba Kwa bei hiyo wao watu wa shirika huwa wana katua kabisa Kwa hiyo wewe ukija ni kuingiza maji na kuvuruga tu. Storage ipo ya kutosha kwenye hizi mashine za kukoboa na utalipia sh 3000 kwa gunia pale utakapo kuja kulitoa. Kuhusu mchakato wa kukodi shamba ntakua na majibu next week Kwa sababu nipo safarini kwenda mombasa kwa sasa.
Mkuu vipi kama nitahitaji kununua mpunga kipindi cha mavuno kisha niuhifadhi kusubiri peak period. Utaratibu ukoje?
 
Kaka kwanza nakupa hongera sana kwa maamuzi mema na faida kubwa.
Ni wazi umeona kwanza kununua kitu kitakuingizia fedha badala ya kwenda kununua gari ya kifahari.
Pia tunashukuru kwa mrejesho,nimegundua watz wengi ni watu wa maendeeleo sema serikali ni moja ya vizuizi vikibwa.Mwenyezi Mungu akutangulie katika biashara yako mkuu.
 
Mkuu kwanza hongera sn kwa hatua hiyo kubwa. Mm sijawahi kulima mpunga ila naweza kuanza.

Ni zipi hasa kazi( functions) za hiyo mashine?
 
Kweli mkuu hebu fikiria hapo bandarini tuu kumemtoa jasho yani kuna sehemu serikali sio rafiki kabisa yani.
 
Kaka kwanza nakupa hongera sana kwa maamuzi mema na faida kubwa.
Ni wazi umeona kwanza kununua kitu kitakuingizia fedha badala ya kwenda kununua gari ya kifahari.
Pia tunashukuru kwa mrejesho,nimegundua watz wengi ni watu wa maendeeleo sema serikali ni moja ya vizuizi vikibwa.Mwenyezi Mungu akutangulie katika biashara yako mkuu.
Asante mkuu ila pia maamuzi magumu ili yafanyike ni lazima utoke katika comfort zone. Mjini kuna fursa nyingi na bata pia ila shamba kuna fursa kubwa zaidi na uamuzi wa kuhamisha kambi kwenda bush sio rahisi hata kidogo.
 
Mkuu kwanza hongera sn kwa hatua hiyo kubwa. Mm sijawahi kulima mpunga ila naweza kuanza.

Ni zipi hasa kazi( functions) za hiyo mashine?
Karibu sana mkuu hata mimi nilikua sijawahi kulima mpunga kabisa na huu ni msimu wangu wa kwanza shamba. Kazi kuu za hii mashine ni kukata mpunga na kupepeta ili utoke katika majani yake halafu watu wanakua wana jaza kwenye mifuko.
 
Back
Top Bottom