Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii bei ni kweli?Ime nigharimu kama 3.5 m Kwa gharama zote mpaka Kutoka bandarini.
Imechukua muda gani mpaka kufika bongoGharama ya clearance mkuu.
Mkuu hongera sana naomba mawasiliano yako ta simu nitakutumia kwenye kazi yanguSiku 32
kwani mashine yenyewe kuinunua umeinunua bei gani mkuu?Ime nigharimu kama 3.5 m Kwa gharama zote mpaka Kutoka bandarini.
12000$×2100 tsh=25,200,000tsh.Mnamo mwezi wa kwanza mwaka huu nilianzisha mada hapa jukwaani nikiomba ushauri wa kuagiza mashine toka China. Ishu ilikua niende China au niagize kwa mtandao kupitia Alibaba.
Nilipata ushauri wa kutosha tu huku wengine wakiniasa kwamba Alibaba nita tapeliwa hela bora tu niende China. Bahati mbaya budget yangu ilikua ndogo kwahiyo nisingeweza weza kwenda China basi nikaamua kuagiza kupitia Alibaba.
Namshukuru mungu mashine yangu ilifika salama kama wiki 2 zilizo pita na sasa nipo shamba napiga kazi. Napenda kutoa ushauri tu kwamba Alibaba wapo vizuri sana katika buyer's protection kwa hiyo risk ya kutapeliwa ni ndogo sana na kama una maswali usisite kuuliza.
View attachment 346004
View attachment 346005
View attachment 346006
Mkuu samahani,hizi gunia 30 kwa heka ni za mpunga ama mchele namaanisha baada yakukoboa?5 m utalima heka 5 kule kwenye mashamba ya shirika ila lazima uwahi kuomba vibali vya kukodi. Heka 5 itakupa returned gunia 30 kwa kila heka ambazo jumla zitakua gunia 150. Ukiuza kuanzia mwezi wa 8 gunia 1 ni sh laki 1 ukifika December gunia 1 ni 150. Faida ipo kubwa tu.
Hata mimi ndio najifunza hivi sasa kama una maswali ambayo sina majibu basi ntauliza wadau hapa kwa info zaidi. Karibu sana
Waambie mkuu wazee wa Pool TableAsante mkuu ila pia maamuzi magumu ili yafanyike ni lazima utoke katika comfort zone. Mjini kuna fursa nyingi na bata pia ila shamba kuna fursa kubwa zaidi na uamuzi wa kuhamisha kambi kwenda bush sio rahisi hata kidogo.