Mrejesho: Kuhusu tangazo langu la kutafuta rafiki wa Kike

Kila la kheriii mkuu mdumu katika urafiki wenuuu!!✌️✌️
Mnywani olinkaai!
Kapachino ame ku search siku mbili bila mafanikio.

Usipotee kiasi iko! Kidogo nitume kikosi cha maninja kije kuku search
 
Mnywani olinkaai!
Kapachino ame ku search siku mbili bila mafanikio.

Usipotee kiasi iko! Kidogo nitume kikosi cha maninja kije kuku search
Niliyo ninshasha mnywanii!! Tatizo Saivi Sina anuani maalumu ya makazi nazurura tyuu bila mpangeleoo;!
Miss you mingi mingii mnywanii 😘!
 
Niliyo ninshasha mnywanii!! Tatizo Saivi Sina anuani maalumu ya makazi nazurura tyuu bila mpangeleoo;!
Miss you mingi mingii mnywanii 😘!
Oh pale Sana!

Dah Sasa na Mimi nikiwa na stress Kama author wa thread na ambavyo sikupati itakuwaje?

Haha Nani wa kuni calm down
 
Amesha kuambia kwamba anatokea pande za Machame?
Maana kule Kuna totoz si mchezo halafu wapoleee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…