Mrejesho Kutafuta Mchumba

Mrejesho Kutafuta Mchumba

Baraka DSM

Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
68
Reaction score
76
Napenda kutoa mrejesho kama ifuatavyo...
Walijitokeza wasichana karibia wanne kule PM, nilifanikiwa kuonana na mmoja infact ni mwanafunzi ila hakuwa serious kabisa within two days alishaonesha dalili za kuwa mjanja sana kuliko maelezo kwa maana alionekana mswahili sana kwahyo tukaishia hapo.
Hadi sasa sijapata bado... inaonekana ukiwa serious wengine wanazingua.
 
Back
Top Bottom