Mrejesho: Maboresho ya ramani ya nyumba yangu

Mrejesho: Maboresho ya ramani ya nyumba yangu

Amanitwin

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,372
Reaction score
1,628
Wakuu, week kadhaa nyuma niliomba ushauri juu ya ramani yangu ya kwanza.
Refer uzi huu hapa:[emoji116]


Wengi wenu mlinishauri, na mapendekezo yenu niliyachukua na kuyafanyia kazi na kuboresha ile ramani kwa kuzingatia ushauri wenu.

Baada ya kufanya maboresho, nawaletea kwenu mniambie, kuna ambacho hakipo sawa kwenye hii ramani cha kurekebisha?
Screenshot_20230306-221129_Adobe Acrobat.jpg

View attachment 2540686
 
Kuna vitu umeweka vimebana jiko na dining halafu no madirisha, ondoa foyer na office na laundry ongeza ukubwa wa jiko na dining na seating room. Au lah ongeza ukubwa wa jengo ku accomodate vyote.
Weka madirisha mengi as possible kama uko mkoa wenye joto.
 
Kuna vitu umeweka vimebana jiko na dining halafu no madirisha, ondoa foyer na office na laundry ongeza ukubwa wa jiko na dining na seating room. Au lah ongeza ukubwa wa jengo ku accomodate vyote.
Weka madirisha mengi as possible kama uko mkoa wenye joto.
1. Madirisha yapo kwenye kila chumba, naona alisahau kuyaweka kwenye hii draft.

2. Office na laundry kwa life style yangu ni muhimu. Sijui kwa nini umeshauri niviondoe!!!

3. Umesema niongeze ukubwa wa sitting room. Sitting room ya 4*6 meters ni ndogo? Mbona naona kama inatosha kabisa?

4. Nitaongeza kidogo dining, ila Jiko la 3*3 ni dogo?
 
Me mawazo yangu madogo tu, huo ukuta wa foyer na sitting utenganishe uwe una sehemu mbili za kuingilia sitting.

Baada tu ya kuingia mlango wa mbele kuwe na entrance ya kuingia sitting, then ukuta kisha unaweka entrance nyingine ya sitting.

Hizo entrance(s) unaweza kuzijenga kwa mtindo wa 'arch'.

Lkn pia ulipoweka entrance yako ni free kuona corridor yote mpk chumban, so, mawazo yangu kuwe na kiukuta kwanza kule mwisho (tunaita vikwapa). Hizo corner (vikwapa) Ni nzuri pia kwa baadhi ya matumizi mf; fridge, mapambo and so on.
 
Bado kuna shida. Room ya baba ipo upande wa watoto. Watasikia wakati unakula mzigo
Nimekupata mkuu, Ningeiweka hiyo master bedroom mbali,maybe upande wa ilipo sebule, ingelazimu sebule ihame hapo...of which naona ingedisturb muonekano niliokuwa nautaka wa sebule kukaa hapo ilipo.
 
Back
Top Bottom