Mrejesho: Maisha hua na mwanzo..!!

Hapo kwenye kuweka hela timiza baada ya mwezi wanakupa mara mbili yake ulishajaribu mkuu nawakakupa kweli maana hapo wamaanisha ukiweka laki mwezi mzima wanakupa laki nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Yap niliwah...niliweka kama kujaribu elf 2...baada ya mwezi wakanipa elfu 4....nkaweka elfu 10 wkanipa elfu 20...!!now nmeweka hamsini...na nataka kazi iwe hyo....wakiongeza nairudisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ishu iko hivi...unapoweka pesa yako akiba...wao wanaitumia kibiashara hasa kukopesha...so hela yako inazungushwa..lkn kama ukitaka kuitoa ht kabla ya mwezi inawezkana
Hapo kwenye kuweka hela timiza baada ya mwezi wanakupa mara mbili yake ulishajaribu mkuu nawakakupa kweli maana hapo wamaanisha ukiweka laki mwezi mzima wanakupa laki nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani inafaa kuiweka vyema taarifa ya timiza juu ya kupewa mara mbili.

Nijuavyo mimi (naruhusu kukosolewa) ni kwamba airtel money wana ushirikiano na maendeleo bank ambapo wanaendesha timiza vikoba kwa pamoja.

Katika hiyo timiza vikoba watu wanapaswa kujiunga kikundi cha kuanzia watu watano hadi 50 na kila mwana kikundi atapaswa kulipa akiba yake ya kila wiki.

Baada ya wiki nne kila mwana kikundi atapata haki ya kukopa mara mbili ya akiba yake. Mkopo huo unapaswa kurejeshwa kadiri ya makubaliona.

Hivyo sio kwamba unapewa mara mbili bure bali unaweza kukopa mara mbili.

Taarifa hii nimeitoa kwa nijuavyo mimi na kwa minajili ya mabandiko ya maendeleo bank na airtel. Link ya maelezo kuhusu timiza akiba ni:

Timiza vikoba | Maendeleo Bank

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew wasemea timiza kikoba...mimi nasemea timiza akiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…