BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 917
- 2,217
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap niliwah...niliweka kama kujaribu elf 2...baada ya mwezi wakanipa elfu 4....nkaweka elfu 10 wkanipa elfu 20...!!now nmeweka hamsini...na nataka kazi iwe hyo....wakiongeza nairudishaHapo kwenye kuweka hela timiza baada ya mwezi wanakupa mara mbili yake ulishajaribu mkuu nawakakupa kweli maana hapo wamaanisha ukiweka laki mwezi mzima wanakupa laki nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kuweka hela timiza baada ya mwezi wanakupa mara mbili yake ulishajaribu mkuu nawakakupa kweli maana hapo wamaanisha ukiweka laki mwezi mzima wanakupa laki nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani inafaa kuiweka vyema taarifa ya timiza juu ya kupewa mara mbili.Nakumbuka niliwah kuleta thread nkiomba ushauri kuhusu kupanga....maana nilikuwa nafanya biashara stil nikiwa home maana ndo kwanza nilitoka chuo....sikuwa na ajira ndo nkaamua kujiajiri kwa biashara ya duka la reja reja
Uamuzi huu niliufikiria tangu mwaka jana..na nilihitaji kwanza biashara isimame ndipo nipange chumba
Nashukuru Mungu nilipokea maoni mengi mazuri...japo wengine walidhihaki ila sio mbaya..tupo hapa kujifunza
Nilichofanya kwanza nilipiga hesabu how ntapata pesa...maana kupanga inabd uwe na access ya kupata pesa ya kodi
Nikachunguza projects za kuweka huduma ya kuunganisha namba za tigo kuwa ya chuo
Pia nkaongeza huduma za kutoa hela kwa mitandao ya tigo...voda na airtel kupitia kampuni za mobistock na selcom
Nikafanya mpango pia wa kusajili airtel ili niingie kwenye mchongo wa airtel timiza akiba(hapa unaweka pesa kwenye akaunt ya timiza akiba...unaweka pesa kwa muda wa mwezi mzima bila kuitoa...ukija kuitoa baada ya mwezi wanakupa mara mbili ya pesa uloweka)
Baada ya hapo nikaongeza charger na kobe kwa ajili ya kchajisha sim kw 200/=
Baada ya kpiga hesab na kuona hzo project zna uhakikawa kunipa pesa ndipo wiki ilopita nikahamia kwenye maisha ya kujitegemea(maana baadh ya vitu nlishajipanga)
Niliingia kupanga nikitegemea ntapokea changamoto kwenye biashara...lakini imekuwa tofauti
Pesa mzunguko upo vizuri zaidi ya mwanzo...!!hela napata na inatosha kuliko kawaida
Kwa hli kwakweli namshukuru Mungu...!!
Pia napenda kuwaambia vijana wenzangu....tufanye kazi....tuweke mapenzi pembeni....wanawake tuewaweke nyuma....malengo tuyaweke mbele
Tukishazipata hko mbele na ukahisi kuwa sasa naweza kuweka upenyo kidogo wa mambo mengne ndpo uanze kuruhusu mtu aitwaye mpenz kuingia...(Neno langu sio sheria)
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew wasemea timiza kikoba...mimi nasemea timiza akibaNadhani inafaa kuiweka vyema taarifa ya timiza juu ya kupewa mara mbili.
Nijuavyo mimi (naruhusu kukosolewa) ni kwamba airtel money wana ushirikiano na maendeleo bank ambapo wanaendesha timiza vikoba kwa pamoja.
Katika hiyo timiza vikoba watu wanapaswa kujiunga kikundi cha kuanzia watu watano hadi 50 na kila mwana kikundi atapaswa kulipa akiba yake ya kila wiki.
Baada ya wiki nne kila mwana kikundi atapata haki ya kukopa mara mbili ya akiba yake. Mkopo huo unapaswa kurejeshwa kadiri ya makubaliona.
Hivyo sio kwamba unapewa mara mbili bure bali unaweza kukopa mara mbili.
Taarifa hii nimeitoa kwa nijuavyo mimi na kwa minajili ya mabandiko ya maendeleo bank na airtel. Link ya maelezo kuhusu timiza akiba ni:
Timiza vikoba | Maendeleo Bank
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu timiza akiba kwa vyanzo vya gazeti la mwananchi ni asilimia tano ya akiba utalipwa kama riba ukiweka akiba.
Ndugu naongea hili from experience....kutoka kwa mtu alonielekeza na kutoka kwangu mwenyew nilojarbu....nliweka hela wakanipa mara 2Kuhusu timiza akiba kwa vyanzo vya gazeti la mwananchi ni asilimia tano ya akiba utalipwa kama riba ukiweka akiba.
Airtel Money kujaza noti wateja
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka details na wengine wapate full details. Wengi wanazo laini za airtel na zina airtel money. Ukiweka full details shaka za watu zitaondoka.Ndugu naongea hili from experience....kutoka kwa mtu alonielekeza na kutoka kwangu mwenyew nilojarbu....nliweka hela wakanipa mara 2
Sent using Jamii Forums mobile app