- Thread starter
- #21
Waliachana kitambo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliachana kitambo sana.
Sina wowowo.Kama una wowowo njoo pm......nitakufungulia duka la spea za magari
AsanteHongera sana.
HapanaBado unampenda.
Sasa mkuu wowowo na duka la spea za magari na ishu yake ya mrejesho vinaingilianaje hivyo?Kama una wowowo njoo pm......nitakufungulia duka la spea za magari
We acha tu. Mioyo ya watu imebeba siri kubwa sana. Huwa mpaka unajiuliza kwa nini mtu hufanya yote haya. Ila ni mapito ya dunia na yanatupa somo kubwa sanaNimesoma original post uliyoandika hapa 2015 imenisikitisha sana.
Huyu mtu alikosa utu kabisa,pole sana ni tabia za wanaume wasiojitambua ndo wanaweza kufanya hivyo.
Yaani. Mbona wenye mawowo wako wengi sana. Wanapatikana sana, kama ana hela ni rahisi tu kuwapata.Sasa mkuu wowowo na duka la spea za magari na ishu yake ya mrejesho vinaingilianaje hivyo?
Ulikuwa unaenda wapi labda tukuelekeze jinsi ya kupata usafiri mwingineNimeachwa stend
Means, I didn't catch the messageUlikuwa unaenda wapi labda tukuelekeze jinsi ya kupata usafiri mwingine
OkMeans, I didn't catch the message
Dhulma zina laana whether me au ke.Hawajui tu Mme au mke Ana laana pia na inakupoga vzr sanaa ukiteleza kidogo
Hakuna laana Wala Nini!?Hawajui tu Mme au mke Ana laana pia na inakupoga vzr sanaa ukiteleza kidogo