Mrejesho: Maneno ya kejeli ya mume wangu

Nimesoma original post uliyoandika hapa 2015 imenisikitisha sana.

Huyu mtu alikosa utu kabisa,pole sana ni tabia za wanaume wasiojitambua ndo wanaweza kufanya hivyo.
 
Nimesoma original post uliyoandika hapa 2015 imenisikitisha sana.

Huyu mtu alikosa utu kabisa,pole sana ni tabia za wanaume wasiojitambua ndo wanaweza kufanya hivyo.
We acha tu. Mioyo ya watu imebeba siri kubwa sana. Huwa mpaka unajiuliza kwa nini mtu hufanya yote haya. Ila ni mapito ya dunia na yanatupa somo kubwa sana
 
Hongera sana kwa kuvuka majaribu.
Vipi ulifanikiwa kupata mtoto?
 
Hawajui tu Mme au mke Ana laana pia na inakupoga vzr sanaa ukiteleza kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…