No nina maanisha Address ya forwader wa US uliyo mpa seller ?Jina kamili
NChi
Mkoa
Wilaya
+255
Okay, Kwahiyo wewe ulimpa tu seller hiyo anuani yako pamoja na 1US then akatuma ?Ametuma seller mwenyewe...
Okay. Poa poaUnafanya online purchase.. Kupitia paypal acount.
Mkuu ulitumia Address gani kwa Dodoma, Pobox ya mkoa au una address yako bnafsi ?mkuu kna mzigo nimeagiza lakini natumia Aliexpress kwenye tracking unaonesha mzigo ushafika dodoma tangu juzi lakin cjapigiwa simu na watu wa posta vipi naweza kwenda posta kuclaim au nisubir mpaka nipigiwe simu?
nliandika tuu Tanzania dodoma , university of dodoma na namba ya simuMkuu ulitumia Address gani kwa Dodoma, Pobox ya mkoa au una address yako bnafsi ?
Naskia kuhusu akaunti kuibiwa pesa ni pale wajanja wa kuhack wanapotumia details zako kulipia bidhaa na kukomba zilizobak na si ebay wanaoziiba. Dawa ni kuwa na akaunt maalum ya malipo ya aina hiyo tu. Inabak haina kitu ukishalipia.Ukatumwa tarehe 16 na leo umefika..
NILICHOJIFUNZA
1. Wakati mwingine woga wetu ndio unaotufanya kuwa nyuma kimaendeleo.. Dunia ya sasa imekua kijiji unaweza pata bidhaa yeyote toka ulimwengu wowotena kwa bei rahisi cha msingi ni kutumia njia sahihi wakati wa manunuzi..
2. Wizi wa pesa kwenye acount.. Kuna wakati nilikua na wasi wasi kwamba uenda jamaa wangenipiga ela zangu kwenye acount.. Hii si kweli jamaa wa ebay wapo makini sana hasa hasa ukiwa na acount ya paypal yani chagua bidhaa ebay lakini lipa kwa kutumia paypal..
Kuna jamaa mmoja alikweka bidhaa kiwizi wizi nikainunua jamaa wa paypal walipogundua wakamblock jamaa na fedha zangu zikarudishwa kwenye acount yangu.. Haijalishi ni kiasi gani kitarudishwa..
View attachment 489334
KUHUSU ZIP CODE NA POSTAL CODE
Hizi zisiwasumbue.. Andika detail zako za nchi, mkoa na wilaya, na code yetu pendwa ya +255 plus jina lako kamili trust me mzigo wako utafikishwa posta kuu ya mkoa wako na watu wa posta watakupigia simu uufate mzigo wako mara unapofika.. Hasa wakituma kwa register.. Usiandike P. O. BOX kwani wengine huwa hawataki mtu atumie P. O. Box.
2. Kuna vingine vingi ambavyo ukiwa interested unaweza jifunza cha msingi tuache woga.
Ukifuata utaratbu hakuna anayeweza kufanya huo ujinga...Naskia kuhusu akaunti kuibiwa pesa ni pale wajanja wa kuhack wanapotumia details zako kulipia bidhaa na kukomba zilizobak na si ebay wanaoziiba. Dawa ni kuwa na akaunt maalum ya malipo ya aina hiyo tu. Inabak haina kitu ukishalipia.
Siku yamekukuta utakuwa umechelewa.Ukifuata utaratbu hakuna anayeweza kufanya huo ujinga...
Ukishachagua nchi tayari inakua imwshaweka code number +255 so malizia zile namba zingine ukitoa/ ukiacha sifuri ya mwanzo.nikijisajili kwenye ebay,sasa nikifika kwenye comfermation ya mobile NAMBA inagona.nisaidie hapo wadau nifanyejee.
Kama wana accept paypal tumia the same acount.. Tho kila mtandao una njia yake ya malipo.. Wengine hawa accept paypalje wakuu, kuna mitandao tofauti tofauti ya kuuza bidhaa,je kila mtandao inabidi nijisajili tena,au kwa kuwa nimeisajili paybal,basi ni rahisi nikiingia mkwenye mtandao wataweza kunipata na taarifa zangu zote,nitoeni ushamba hapo wadau