Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)

Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)

Asante kwa mrejesho.Vipi zile Land cruiser V8,GX zinazouzwa kwa.mnada buwa ni za kweli au utapeli.Zile hazipiti posta
Ununuzi wa magari unautaratbu wa tofauti.. But ukinunua unapata
 
Ukatumwa tarehe 16 na leo umefika..
NILICHOJIFUNZA
1. Wakati mwingine woga wetu ndio unaotufanya kuwa nyuma kimaendeleo.. Dunia ya sasa imekua kijiji unaweza pata bidhaa yeyote toka ulimwengu wowotena kwa bei rahisi cha msingi ni kutumia njia sahihi wakati wa manunuzi..
2. Wizi wa pesa kwenye acount.. Kuna wakati nilikua na wasi wasi kwamba uenda jamaa wangenipiga ela zangu kwenye acount.. Hii si kweli jamaa wa ebay wapo makini sana hasa hasa ukiwa na acount ya paypal yani chagua bidhaa ebay lakini lipa kwa kutumia paypal..
Kuna jamaa mmoja alikweka bidhaa kiwizi wizi nikainunua jamaa wa paypal walipogundua wakamblock jamaa na fedha zangu zikarudishwa kwenye acount yangu.. Haijalishi ni kiasi gani kitarudishwa..
View attachment 489334
KUHUSU ZIP CODE NA POSTAL CODE
Hizi zisiwasumbue.. Andika detail zako za nchi, mkoa na wilaya, na code yetu pendwa ya +255 plus jina lako kamili trust me mzigo wako utafikishwa posta kuu ya mkoa wako na watu wa posta watakupigia simu uufate mzigo wako mara unapofika.. Hasa wakituma kwa register.. Usiandike P. O. BOX kwani wengine huwa hawataki mtu atumie P. O. Box.
2. Kuna vingine vingi ambavyo ukiwa interested unaweza jifunza cha msingi tuache woga.
Unakuwa insured tu kama una paypal account . Muuzaji asipodeliver kuna muda wa kuwacontact ebay ukishapita unaweza kukosa pesa zako. Pia muuzaji yuko responsible kudeliver exactly alivyo describe .otherwise sijui kama posta walishaacha mchezo wa kufungua mizigo ya watu
 
Asante kwa angalizo..
 
Acha uoga
Uoga upi wakati nimeshafanya manunuzi mengi tu. Sio kwamba kila unapofanya manunuzi lazima utapeliwe lakini utapeli ni mkubwa, halafu suala la kodi, ushuru, VAT na makato mengine unakuta ni zaidi ya kununua kitu bongo.
 
Tupe mfano wa bidhaa uliyonunua na makato yake ili tulijadili humu ndani
 
Asante kwa angalizo..
Ila pia huwa kuna complication ya ki kodi nikiwa nchini ninakoishi kuna wakati nilishindwa kununua bidhaa kutoka china waki claim complication ya ki kodi. Nikarudishiwa pesa zangu.vinginevyo online shops ni duka kubwa sana kuna ma million ya transactions kila siku na si kwa ebay tu bali hata maduka ya kawaida na wana deliver mpaka mlangoni. Sema kwetu tz nahsi TRA hawajaanza kuchubgulia wanaouza na kununua mtandaoni mnaweza mkaponea hapo
 
Itabidi Mwalimu atusaidie hapo aisee
Walinipa inaonyesha kimefika ila nikienda Posta hamna kitu;
Yaani sijawapenda kabisa Amazon
- Nitumie hiyo tracking number kwenye PM labda tutapa pa kuanzia

NB
- Asilimia kubwa ya items za AMAZON huwa hawatumi kuja Africa (TZ)

- Hivyo kwa AMAZON inabidi utumia anwani ya USA/CANADA au Europe

- Ninatoa huduma hii ya anwani za kusafirishia (shipping address/ Freight address) kwa mataifa tofauti tofauti

- Ambapo wewe ufanyapo manunuzi utatumia anwani nitakayokupa kama shipping address yako.

- Ghalama utazolipia - Ni Ghalama za kusafirishia kutoka nchi husika kuja TZ, na ghalama hutokana na uzito wa mzigo tu.

- Huduma hii naiita SHIP4ME

Huduma zingine ni
- BUY4ME & PAY4ME - hii ingia kwenye hii thread www.v.ht/buy4me
 
Screenshot_2017-04-02-11-33-39.png
Screenshot_2017-04-02-11-43-08.png
 
Wenzetu wako powa, mimi nimenza kufanya online shopping kwa site mbali mbali since 2013, kubwa ikiwa ni ebay, mizigo yangu yote Inafika. Na ikitokea seller ame cancel order yako, hela yako inarudishwa kwa account.
Nilianza na vitu vidogo vyenye thamani $10 na baadae zaidi mpaka leo.
 
Ukatumwa tarehe 16 na leo umefika..
NILICHOJIFUNZA
1. Wakati mwingine woga wetu ndio unaotufanya kuwa nyuma kimaendeleo.. Dunia ya sasa imekua kijiji unaweza pata bidhaa yeyote toka ulimwengu wowotena kwa bei rahisi cha msingi ni kutumia njia sahihi wakati wa manunuzi..
2. Wizi wa pesa kwenye acount.. Kuna wakati nilikua na wasi wasi kwamba uenda jamaa wangenipiga ela zangu kwenye acount.. Hii si kweli jamaa wa ebay wapo makini sana hasa hasa ukiwa na acount ya paypal yani chagua bidhaa ebay lakini lipa kwa kutumia paypal..
Kuna jamaa mmoja alikweka bidhaa kiwizi wizi nikainunua jamaa wa paypal walipogundua wakamblock jamaa na fedha zangu zikarudishwa kwenye acount yangu.. Haijalishi ni kiasi gani kitarudishwa..
View attachment 489334
KUHUSU ZIP CODE NA POSTAL CODE
Hizi zisiwasumbue.. Andika detail zako za nchi, mkoa na wilaya, na code yetu pendwa ya +255 plus jina lako kamili trust me mzigo wako utafikishwa posta kuu ya mkoa wako na watu wa posta watakupigia simu uufate mzigo wako mara unapofika.. Hasa wakituma kwa register.. Usiandike P. O. BOX kwani wengine huwa hawataki mtu atumie P. O. Box.
2. Kuna vingine vingi ambavyo ukiwa interested unaweza jifunza cha msingi tuache woga.
mkuu asante kwa kutuaminisha na sisi kusubutu kufanya manunuzi bila hofu
swali langu ni kwamba kama unataka mzigo ufike haraka siku 7-14 najua kampuni zipo kama dhl,fedex nk sasa kama mzigo ni wathamani ya $100 hawa jamaa utawalipa kiasi gani?
 
Wenzetu wako powa, mimi nimenza kufanya online shopping kwa site mbali mbali since 2013, kubwa ikiwa ni ebay, mizigo yangu yote Inafika. Na ikitokea seller ame cancel order yako, hela yako inarudishwa kwa account.
Nilianza na vitu vidogo vyenye thamani $10 na baadae zaidi mpaka leo.
Mkuu kwa mfano mimi nataka kuagiza home theater na luninga, swali je kuna gharama ntahitaji kulipia kwa hapa bongo land? Je inaweza kuchukua mda gani? Pia nataka kujua connection kat ya ebay, dhl na posta
 
mkuu asante kwa kutuaminisha na sisi kusubutu kufanya manunuzi bila hofu
swali langu ni kwamba kama unataka mzigo ufike haraka siku 7-14 najua kampuni zipo kama dhl,fedex nk sasa kama mzigo ni wathamani ya $100 hawa jamaa utawalipa kiasi gani?
Tafuta wanaofanya free international shipping unapochagua bidhaa.. Watakutumia hadi mkoani mwako...watachagua courier wenyewe wa kupost hyo mizigo... Mimi nimetumiwa mizigo kupitia China Post na imefika na nikapigiwa simu niifate... Nilishawah wauliza hao fedex gharama zao wakanambia unahitaji kufungua acount kwao ambayo fee yake ni kama usd 45 kwa mwaka...then kwenye kila kilo moja ya mzigo utakao tumiwa watakucharge 10Usd kitu ambacho ni gharama sana..
Ushauri wangu..
Tafuta seller wanaotoa free international shipping au wenye shipping charge ndogo na huwa wanaziweka kwenye tangazo la bidhaa zao
[ATTACH=full
 
1491134960307.jpg
Mkuu kwa mfano mimi nataka kuagiza home theater na luninga, swali je kuna gharama ntahitaji kulipia kwa hapa bongo land? Je inaweza kuchukua mda gani? Pia nataka kujua connection kat ya ebay, dhl na posta
Kuhusu muda wa kufika.. Muda haupo fixed but mara nyingi huwa ni 10-20 days.wakati mwingine ata ndani ya siku nne unaweza upata.. Huo muda huwa wanauweka ili ku-avoid panic ya wateja.... Kuhusu extra fee labda wajuzi wengine watuambie.. Kama kuna hizo charge
 
View attachment 490310

Jingine nililosahau kidogo, kati ya kufungua pay pal na kuwambia benk waaktivate ili nianze transaction kipi kinaanza? Kufungua ac au niwaambie bank waaktivate kwanza? Tafadhar
 
Ni vyema ukaanzia benki.
 
Binafsi nina shop sana na EBay....
Na nipo mkoani huku ila vitu vinafika poa kabisa ila address yangu niliweka P.O.Box ;
Kwa ushauri wako nitarekebisha nianze kutumia Code +255.

Ila kuna changamoto nimepata Amazon nimenunua kitabu ila hakifiki,
Nikawasiliana na watu wao wa Customer Service ila wakasema wanatuma tena ila mpaka sasa hola na ETA ilikuwa Feb 15.....
Sijui nini ilikuwa mbaya

Ushuru.na kodi kupitia posta je unaripia au ni bure kuingiza ama tayari unakuwa umekatwa wao wanamalizana na hao hao eBay au Amazon?
 
Jingine nililosahau kidogo, kati ya kufungua pay pal na kuwambia benk waaktivate ili nianze transaction kipi kinaanza? Kufungua ac au niwaambie bank waaktivate kwanza? Tafadhar
At the end of the day huwezi kufanya purchase kama acount hako haipo active..
 
Ushuru.na kodi kupitia posta je unaripia au ni bure kuingiza ama tayari unakuwa umekatwa wao wanamalizana na hao hao eBay au Amazon?
MR. MTUI, MLM RCT tafadhari swali kwenu na mm ningependa kujua.
 
Back
Top Bottom