Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)

Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)

Kwenye manunuzi ya bidhaa kwa nji ya mnada (auction) kuwa makini coz waweza kuta bidhaa inauzwa usd0. 01 lakini shipping cost ni usd 98.
Unapotuma ela unaunganishiwa na shipping?
 
Usipokuwa makini utalizwa hackers wapo.. Na kuna njia ya kuwatambua... Mara nyingi hacker wanakutumia email zinazofanana na za ebay na link link za ajabu ukizifungua hzo link ndo mwanzo wa kuibiwa.. Ebay hawatumi email zenye link au attachments.. Mfano hii hapa ni email ya hacker
View attachment 489341
Hyo @ kabla ya ebay inaonyesha kwamba imetoka kwa hacker.
Tatizo kufahamu hilo sasa.
 
Hakuna ulazima coz watajua tu wakati wa manunuzi..
Kwa uzoefu wako ukiweka accountvyenye hela nyingi haiwezi toke matapeli wakakomba au ndo hiyo kwamba ni vizuri mtu ukawa na acc special yenye hela kidogo ukilipa inaisha Mkuu
 
Kwa uzoefu wako ukiweka accountvyenye hela nyingi haiwezi toke matapeli wakakomba au ndo hiyo kwamba ni vizuri mtu ukawa na acc special yenye hela kidogo ukilipa inaisha Mkuu

Usipokuwa makini utaibiwa siyo ebay tu ata pale ubungo stand..
 
Usipokuwa makini utaibiwa siyo ebay tu ata pale ubungo stand..
Sasa mkuu naomba unisaidie jambo, pindi mtu anapojiunga na ebay kuna mahali panataka aweke street address na pengine panataka aweke postal code. Nijuze mkuu hapo inakuwaje?
 
- Nitumie hiyo tracking number kwenye PM labda tutapa pa kuanzia

NB
- Asilimia kubwa ya items za AMAZON huwa hawatumi kuja Africa (TZ)

- Hivyo kwa AMAZON inabidi utumia anwani ya USA/CANADA au Europe

- Ninatoa huduma hii ya anwani za kusafirishia (shipping address/ Freight address) kwa mataifa tofauti tofauti

- Ambapo wewe ufanyapo manunuzi utatumia anwani nitakayokupa kama shipping address yako.

- Ghalama utazolipia - Ni Ghalama za kusafirishia kutoka nchi husika kuja TZ, na ghalama hutokana na uzito wa mzigo tu.

- Huduma hii naiita SHIP4ME

Huduma zingine ni
- BUY4ME & PAY4ME - hii ingia kwenye hii thread www.v.ht/buy4me

Mkuu nina mzigo nimeagiza toka December nikapewa hiyo tracking number cha ajabu sijaupata naweza kuangaliaje nijue ulipo?
 
Back
Top Bottom