Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asilimia kubwa ya seller wa amazon hawatumi kuja africa (Tanzania)
hawanaga naskiaJaribu utupe mrejesho
Gharama za shipping inakuaje?Asilimia kubwa ya seller wa amazon hawatumi kuja africa (Tanzania)
- Hapo unatakiwa kutumia huduma ya BUY4ME / SHIP4ME - Maelezo zaidi yako hapa www.v.ht/buy4me
- Na nitakufikishia nchini mzigo wako.
Mawasiliano
- whatsapp 0784 496 856
- Call/ sms: 0717 54 57 62
- Nitumie kwa PM; link za items zote unazohitaji kutoka amazon UKGharama za shipping inakuaje?
Kaka naomba msaada wa kidogonilikuwa najaribu kucheki list ya bidhaa e bay- Nitumie kwa PM; link za items zote unazohitaji kutoka amazon UK
- Kisha nitakupa mchanganuo wa ghalama
Karibu
- Ghalama ya manunuzi imejumuisha ghalama ya usafirishaji.bidhaa e bay
kuna ambazo wameandika free economy ship from hongkong may ship world wide
- Hapa inatakiwa uwasiliane na seller, Mfanye makubaliano ya shipping cost hadi Tanzania.pia wengine zimeandikwa free shipping but may not ship to Tanzania
hapo nimekupata sasa kwa upande wa paypal ukiverify code ina maana wanakata fedha moja kwa moja kwenye akaunt yangu ya bank online au mpaka uende bank tena- Ghalama ya manunuzi imejumuisha ghalama ya usafirishaji.
- Mzigo utakufikia ulipo,ila Tegemea kupata mzigo wako baada ya wiki 3 au zaidi
- Sishauri free economy shipping -Sabau mizigo huchukua muda mrefu sana kukufikia
- Hapa inatakiwa uwasiliane na seller, Mfanye makubaliano ya shipping cost hadi Tanzania.
- Na baada ya mawasiliano kuna mawili
1. Akubali kukutumia kuja TZ kwa kiwango mtakachokubaliana au
2. Akakataa kutuma Tz
- Items za kundi hili huwa ni free shipping kwa nchi moja husika au nchi zingine chache huwa zimeorodheshwa.
View attachment 498916
- Fedha inachukuliwakwenye account yako husika - Inakuwa kana kwamba umefanya muamala wa manunuzi mtandaoni.hapo nimekupata sasa kwa upande wa paypal ukiverify code ina maana wanakata fedha moja kwa moja kwenye akaunt yangu ya bank online au mpaka uende bank tena
ok kaka unashauri njia ipi ambapo mzigo huchukua mda mfupi zaid- Ghalama ya manunuzi imejumuisha ghalama ya usafirishaji.
- Mzigo utakufikia mahala popote ulipo,ila Tegemea kupata mzigo wako baada ya wiki 3 au zaidi
- Sishauri free economy shipping -Sabau mizigo huchukua muda mrefu sana kukufikia
- Hapa inatakiwa uwasiliane na seller, Mfanye makubaliano ya shipping cost hadi Tanzania.
- Na baada ya mawasiliano kuna mawili
1. Akubali kukutumia kuja TZ kwa kiwango mtakachokubaliana au
2. Akakataa kutuma Tz
- Items za kundi hili huwa ni free shipping kwa nchi moja husika au nchi zingine chache huwa zimeorodheshwa.
View attachment 498916
Nafikiri unge-share uzoefu wako, kuliko kuonyesha uoga wako. Tuko hapa kujifunza.Uoga upi wakati nimeshafanya manunuzi mengi tu. Sio kwamba kila unapofanya manunuzi lazima utapeliwe lakini utapeli ni mkubwa, halafu suala la kodi, ushuru, VAT na makato mengine unakuta ni zaidi ya kununua kitu bongo.
- Je unaposema muda mfupi? -kwa makadirio unataka iwe ndani ya siku ngapi?ok kaka unashauri njia ipi ambapo mzigo huchukua mda mfupi zaid
Ukiona email nyingi ujue hackers wanakunyemelea..Nahitaji ufafanuzi wa haraka kwa aliyewahi kuagiza bidhaa toka Made in China (e commerce platform)
1. Wengi wao njia zao za malipo ni kupitia western union au T/T, je wana aminika kwa kiasi gani!?
2. Ntatambuaje kama ninayefanya naye biashara sio tapeli!?
3. Nili request latest price for certain product, cha ajabu napata email nyingi sana toka kwa wauzaji ambao siku request toka kwao!??
4. Mwisho kabisa, mbona bidhaa zao nyingi, hasa laptop zinakuwa na bei ndogo.
Kubwa zaidi, ni namna ya kutambua kama muuzaji ni tapeli au lah!!
Msaada please
MIMI ni mgen kabisa wa online purchasing nilipata baadhi ya makala huku nikaamua kuchek web yao nimesha jisajil e bay- Je unaposema muda mfupi? -kwa makadirio unataka iwe ndani ya siku ngapi?
- Je huo mzigo unatokea wapi?
- Je vipi kuhusu ukumbwa/ uzito wa mzigo? Je ni chini ya gram 500 au ni chini ya 2kg au ni zaidi ya 2k?
- Je vipi kuhusu thamani yamzigo? - Maana unaweza kunua mzigo kwa dola 2 na ukausafirisha kwa dola 33! kwa kuwa unahitaji kwa haraka.
Majibu ya maswali hayo yatatoa pendekezo sahihi.