Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)

Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)

NMB SIDHANI KAMA KADI YAO INARUHUSU ONLINE TRANSACTION SIDHANI
 
Screenshot_20170413-232848.png
Screenshot_20170413-232547.png
Screenshot_20170413-232509.png
wanazingua
 
Asilimia kubwa ya seller wa amazon hawatumi kuja africa (Tanzania)
- Hapo unatakiwa kutumia huduma ya BUY4ME / SHIP4ME - Maelezo zaidi yako hapa www.v.ht/buy4me
- Na nitakufikishia nchini mzigo wako.

Mawasiliano
- whatsapp 0784 496 856
- Call/ sms: 0717 54 57 62
Gharama za shipping inakuaje?
 
- Nitumie kwa PM; link za items zote unazohitaji kutoka amazon UK
- Kisha nitakupa mchanganuo wa ghalama

Karibu
Kaka naomba msaada wa kidogonilikuwa najaribu kucheki list ya bidhaa e bay
kuna ambazo wameandika free economy ship from hongkong may ship world wide
na pia wengine zimeandikwa free shipping but may not ship to Tanzania
 
bidhaa e bay
kuna ambazo wameandika free economy ship
from hongkong may ship world wide
- Ghalama ya manunuzi imejumuisha ghalama ya usafirishaji.
- Mzigo utakufikia mahala popote ulipo,ila Tegemea kupata mzigo wako baada ya wiki 3 au zaidi
- Sishauri free economy shipping -Sabau mizigo huchukua muda mrefu sana kukufikia
pia wengine zimeandikwa free shipping but may not ship to Tanzania
- Hapa inatakiwa uwasiliane na seller, Mfanye makubaliano ya shipping cost hadi Tanzania.
- Na baada ya mawasiliano kuna mawili
1. Akubali kukutumia kuja TZ kwa kiwango mtakachokubaliana au
2. Akakataa kutuma Tz
- Items za kundi hili huwa ni free shipping kwa nchi moja husika au nchi zingine chache huwa zimeorodheshwa.
upload_2017-4-21_7-6-50.png
 
- Ghalama ya manunuzi imejumuisha ghalama ya usafirishaji.
- Mzigo utakufikia ulipo,ila Tegemea kupata mzigo wako baada ya wiki 3 au zaidi
- Sishauri free economy shipping -Sabau mizigo huchukua muda mrefu sana kukufikia

- Hapa inatakiwa uwasiliane na seller, Mfanye makubaliano ya shipping cost hadi Tanzania.
- Na baada ya mawasiliano kuna mawili
1. Akubali kukutumia kuja TZ kwa kiwango mtakachokubaliana au
2. Akakataa kutuma Tz
- Items za kundi hili huwa ni free shipping kwa nchi moja husika au nchi zingine chache huwa zimeorodheshwa.
View attachment 498916
hapo nimekupata sasa kwa upande wa paypal ukiverify code ina maana wanakata fedha moja kwa moja kwenye akaunt yangu ya bank online au mpaka uende bank tena
 
- Fedha inachukuliwakwenye account yako husika - Inakuwa kana kwamba umefanya muamala wa manunuzi mtandaoni.
- Hicho kiasi cha fedha walichochukua, Automatic kinarudishwa kwenye account yako ndani ya saa 48 hadi 72
 
Nahitaji ufafanuzi wa haraka kwa aliyewahi kuagiza bidhaa toka Made in China (e commerce platform)

1. Wengi wao njia zao za malipo ni kupitia western union au T/T, je wana aminika kwa kiasi gani!?

2. Ntatambuaje kama ninayefanya naye biashara sio tapeli!?

3. Nili request latest price for certain product, cha ajabu napata email nyingi sana toka kwa wauzaji ambao siku request toka kwao!??

4. Mwisho kabisa, mbona bidhaa zao nyingi, hasa laptop zinakuwa na bei ndogo.

Kubwa zaidi, ni namna ya kutambua kama muuzaji ni tapeli au lah!!

Msaada please
 
- Ghalama ya manunuzi imejumuisha ghalama ya usafirishaji.
- Mzigo utakufikia mahala popote ulipo,ila Tegemea kupata mzigo wako baada ya wiki 3 au zaidi
- Sishauri free economy shipping -Sabau mizigo huchukua muda mrefu sana kukufikia

- Hapa inatakiwa uwasiliane na seller, Mfanye makubaliano ya shipping cost hadi Tanzania.
- Na baada ya mawasiliano kuna mawili
1. Akubali kukutumia kuja TZ kwa kiwango mtakachokubaliana au
2. Akakataa kutuma Tz
- Items za kundi hili huwa ni free shipping kwa nchi moja husika au nchi zingine chache huwa zimeorodheshwa.
View attachment 498916
ok kaka unashauri njia ipi ambapo mzigo huchukua mda mfupi zaid
 
Uoga upi wakati nimeshafanya manunuzi mengi tu. Sio kwamba kila unapofanya manunuzi lazima utapeliwe lakini utapeli ni mkubwa, halafu suala la kodi, ushuru, VAT na makato mengine unakuta ni zaidi ya kununua kitu bongo.
Nafikiri unge-share uzoefu wako, kuliko kuonyesha uoga wako. Tuko hapa kujifunza.
 
ok kaka unashauri njia ipi ambapo mzigo huchukua mda mfupi zaid
- Je unaposema muda mfupi? -kwa makadirio unataka iwe ndani ya siku ngapi?
- Je huo mzigo unatokea wapi?
- Je vipi kuhusu ukumbwa/ uzito wa mzigo? Je ni chini ya gram 500 au ni chini ya 2kg au ni zaidi ya 2k?
- Je vipi kuhusu thamani yamzigo? - Maana unaweza kunua mzigo kwa dola 2 na ukausafirisha kwa dola 33! kwa kuwa unahitaji kwa haraka.

Majibu ya maswali hayo yatatoa pendekezo sahihi.
 
Nahitaji ufafanuzi wa haraka kwa aliyewahi kuagiza bidhaa toka Made in China (e commerce platform)

1. Wengi wao njia zao za malipo ni kupitia western union au T/T, je wana aminika kwa kiasi gani!?

2. Ntatambuaje kama ninayefanya naye biashara sio tapeli!?

3. Nili request latest price for certain product, cha ajabu napata email nyingi sana toka kwa wauzaji ambao siku request toka kwao!??

4. Mwisho kabisa, mbona bidhaa zao nyingi, hasa laptop zinakuwa na bei ndogo.

Kubwa zaidi, ni namna ya kutambua kama muuzaji ni tapeli au lah!!

Msaada please
Ukiona email nyingi ujue hackers wanakunyemelea..
 
Ni bora ununue kitu kwa bei reasonable lakini unapata guarantee ya usalama kuliko kununua cheap product alaf wakahack acount yako..
 
- Je unaposema muda mfupi? -kwa makadirio unataka iwe ndani ya siku ngapi?
- Je huo mzigo unatokea wapi?
- Je vipi kuhusu ukumbwa/ uzito wa mzigo? Je ni chini ya gram 500 au ni chini ya 2kg au ni zaidi ya 2k?
- Je vipi kuhusu thamani yamzigo? - Maana unaweza kunua mzigo kwa dola 2 na ukausafirisha kwa dola 33! kwa kuwa unahitaji kwa haraka.

Majibu ya maswali hayo yatatoa pendekezo sahihi.
MIMI ni mgen kabisa wa online purchasing nilipata baadhi ya makala huku nikaamua kuchek web yao nimesha jisajil e bay
nilitaman sana on line purchasing kuifanya
muda angalau uwe chini ya siku 21
Kuhusu mahal unapotoka nimeona bidhaa nyingi ni za UK ,UK NA CHINA
Napendelea zaid free ship cost
ila nilitaka kufanya majaribio kwa kuagiza mzigo wa dollar 5 had 10
 
Back
Top Bottom