Mrejesho: Maombi yenu jamani, safari ya Popeye Malta inakaribia

Mrejesho: Maombi yenu jamani, safari ya Popeye Malta inakaribia

Cosovo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
667
Reaction score
1,810
Wanajf naomba mniombee safari yangu kwenda kisiwa cha Malta imekaribia baada ya kuhangaika hapa na pale kusaka visa nimefanikiwa ingawa ilikuwa na vikwazo vingi kutokana na Janga la corona.

Siku zinakaribia kuondoka kwenda kukutana na mrembo J lakini nikiwaza itakuwaje huko nchi za wengine kukutana na under 18 licha ya kuhakikishiwa usalama.

Maombi yenu ni muhimu.


Pia soma:
 
Naona umeamua kujilipua kibaharia mkuu.Licha ya wadau kukuasa juu ya biashara kharamu ya viungo vya wanadamu Ila umeamua kupotezea😅

Unaroho ngumu Ila ndy tafsrii ya uanaume.Safari njema Mzee baba,Hakikisha unamrudisha shemeji bongo
 
Mkuu kaliwakilishe taifa ipasavyo,,,ili awasimulie wenzake na vijana wengine wapate Fursa...

Malta sio kubaya kiivo but umejiridhisha aliyekuita ni Demu kweli(video call na stuff kama hzo)....

Safari njema..
 
Mkuu kaliwakilishe taifa ipasavyo,,,ili awasimulie wenzake na vijana wengine wapate Fursa...

Malta sio kubaya kiivo but umejiridhisha aliyekuita ni Demu kweli(video call na stuff kama hzo)....

Safari njema..
Nimejiridhisha kila kitu kuwa ni girl mkuu
 
Wanajf naomba mniombee safari yangu kwenda kisiwa cha Malta imekaribia baada ya kuhangaika hapa na pale kusaka visa nimefanikiwa ingawa ilikuwa na vikwazo vingi kutokana na Janga la corona

Siku zinakaribia kuondoka kwenda kukutana na mrembo J lakini nikiwaza itakuwaje huko nchi za wengine kukutana na under 18 licha ya kuhakikishiwa usalama

Maombi yenu ni muhimu
Ukinyofolewa Figo usisahau kutuletea mlejesho.
 
Muhimu uwe na credit cards au cash ya kutosha
Wana maswali ya kukutega sana na kupata VISA sio kuingia kwenye nchi za watu

Ila kila la kheri
 
Back
Top Bottom