Mrejesho: Maombi yenu jamani, safari ya Popeye Malta inakaribia

We nenda baharia mimi na wenzngu tulocomment hapo juu hata Kenya hatujawahi kwenda wasikurdishe nyuma
 
Wanajf naomba mniombee safari yangu kwenda kisiwa cha Malta imekaribia baada ya kuhangaika hapa na pale kusaka visa nimefanikiwa ingawa ilikuwa na vikwazo vingi kutokana na Janga la corona.

Siku zinakaribia kuondoka kwenda kukutana na mrembo J lakini nikiwaza itakuwaje huko nchi za wengine kukutana na under 18 licha ya kuhakikishiwa usalama.

Maombi yenu ni muhimu.

Pia soma:Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane
Hakikisha unapesa
 
unajiamini vipi kwenda kwenye nchi ambayo ni workshop ya uuzaji viungo vya binadamu
 
Nenda kainjoy mkuu.. hao waliokutumia pesa nawajua wana roho nzuri sana hao
 
Wanajf naomba mniombee safari yangu kwenda kisiwa cha Malta imekaribia baada ya kuhangaika hapa na pale kusaka visa nimefanikiwa ingawa ilikuwa na vikwazo vingi kutokana na Janga la corona.

Siku zinakaribia kuondoka kwenda kukutana na mrembo J lakini nikiwaza itakuwaje huko nchi za wengine kukutana na under 18 licha ya kuhakikishiwa usalama.

Maombi yenu ni muhimu.

Pia soma:Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane
Kama upo serious nikupe mawasiliano na rafiki yangu pale Prof University moja
 
Kaka ingekuwa ni safari yako peke yako yaani kivyako vyako 100% ningesapoti muondoko wako ,lakini unafuata shimo jitayarishe kuwa mtumwa haya mambo Utageuzwa shoga au muuza unga au viungo vyako vitakwenda na maji au utakuwa urgent wa kuwaumiza vijana wenzako hii Dunia Dumeeee hakuna kitu cha buree usisahau kutuletea picha za malta tu .
 
Wanajf naomba mniombee safari yangu kwenda kisiwa cha Malta imekaribia baada ya kuhangaika hapa na pale kusaka visa nimefanikiwa ingawa ilikuwa na vikwazo vingi kutokana na Janga la corona.

Siku zinakaribia kuondoka kwenda kukutana na mrembo J lakini nikiwaza itakuwaje huko nchi za wengine kukutana na under 18 licha ya kuhakikishiwa usalama.

Maombi yenu ni muhimu.

Pia soma:Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane
https://youtu.be/0TfLtRO_8KI
 
We bwana cosovo tupo wawili tu humu lakini kwa dalili hizi naona kabisaa ntabaki mwenyewe😂
 
Back
Top Bottom