Amina mkuuNaona umeamua kujilipua kibaharia mkuu.Licha ya wadau kukuasa juu ya biashara kharamu ya viungo vya wanadamu Ila umeamua kupotezea[emoji28]
Unaroho ngumu Ila ndy tafsrii ya uanaume.Safari njema Mzee baba,Hakikisha unamrudisha shemeji bongo
Nimejiridhisha kila kitu kuwa ni girl mkuuMkuu kaliwakilishe taifa ipasavyo,,,ili awasimulie wenzake na vijana wengine wapate Fursa...
Malta sio kubaya kiivo but umejiridhisha aliyekuita ni Demu kweli(video call na stuff kama hzo)....
Safari njema..
Shimo tu yaanwe jamaa umeshatupiwa majini ya kimalta hivi nikikuuliza hasa huko unafuata nini utasemaje!?..
Ukinyofolewa Figo usisahau kutuletea mlejesho.Wanajf naomba mniombee safari yangu kwenda kisiwa cha Malta imekaribia baada ya kuhangaika hapa na pale kusaka visa nimefanikiwa ingawa ilikuwa na vikwazo vingi kutokana na Janga la corona
Siku zinakaribia kuondoka kwenda kukutana na mrembo J lakini nikiwaza itakuwaje huko nchi za wengine kukutana na under 18 licha ya kuhakikishiwa usalama
Maombi yenu ni muhimu
Goodbye to your kidneys..Shimo tu yaan