Wasukuma kwa mbwembwe hata mm nina msukuma wangu, ukitembea nae mbona utakoma kila akimuona mtu anamfaham atasimama kumsalimia na kunitambulisha, huyu ndo shemeji yko yaan mpaka naboleka. Ila kwasasa namm nimemzoea tunaenda sawa nimekua na sifa kama zake