ney kaaya
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 447
- 354
hahahahahhahhhahhhaah pole endelea iko siku utapata tuHizi habari uwa siziamini mi niliweka bandiko hata like sikupata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahhahhhahhhaah pole endelea iko siku utapata tuHizi habari uwa siziamini mi niliweka bandiko hata like sikupata
Hamna mi sio domo zege kutongozea mitandaoni, sema nilikuwa nafanya utafiti kuona uwa ina ukwlihahahahahhahhhahhhaah pole endelea iko siku utapata tu
ooooooooooooooooooooooohhh poa bhanaHamna mi sio domo zege kutongozea mitandaoni, sema nilikuwa nafanya utafiti kuona uwa ina ukwli
Ila nawe mzuri Sana umeolewaooooooooooooooooooooooohhh poa bhana
hahahahahhah uzuri unao usemea ni upi?Ila nawe mzuri Sana umeolewa
Hhivi sikudai wewe....Habari wana JF,
Kwa mnaokumbuka thread yangu ya kutafuta mke:
Nimefikia muda kuwa na Familia, kwa aliye tayari kwa Ndoa ajitokeze
Nimerudi kuwakushukuru, nimepata mke mwema wa kufanana nae, ninamshukuru Mungu sana, asanteni kwa michango yenu, asanteni kwa wanaume wenzangu mlionifata inbox na kunishauri niwe makini, asanteni kwa kina dada wote waliojitokeza, inshallah Mungu atawapeni wa kufanana nae.
Dada huyu ni member wa muda mrefu hapa JamiiForums, na hadi leo siamini kuwa mimi ndie mume wake mtarajiwa, kwahiyo inbobo zenu mnazomtumia mjue pia mimi ninazisoma, maana hatufichani lolote tena hadi sasa.
Wote ni wakristo, na mpango wetu ni kwenda kutambulishana kwa wazazi. Licha ya tofauti zetu kama vile za kiuchumi, umri, malezi, career, n.k., kwakweli we are in love and 'yo can't tell us anyting' 🙂
I love you coco. I know you are reading me. Nakupenda hadi moyo unasukuma damu kimadoido. Nakupenda hadi kazini wameshtuka kwamba I met someone kwasababu whenever I receive your text message, or a lunch invitation, natabasamu kwa furaha kubwa. Nakupenda mamii.
Wako,
Msukuma Msomi.
PS: Kwa mnaotusema vibaya, kwamba haiwezekani kufall in love ndani ya wiki 2, endeleeni na imani zenu. Naomba msubiri picha na kadi za mialiko ya harusi. Pia nipo kwenye mawasiliano na uongozi wa JF kuhusu utaratibu uliopo wa kuconfirm couple wa JamiiForums. Mimi na mwenzangu tunaamini upendo ni upendo, hauna kipimo cha muda. Kama wewe unaamini ni lazima ukae miezi 2 au 6 ndio ujue kuwa flani ni mke/mme wako. Follow what you believe, don't judge others.
[emoji23][emoji23][emoji23]aseeeNdio maana scorpio haonekani wiki hii
Naona umemfuata hubby kwny uzi wake[emoji23][emoji23][emoji23]aseee
Hv mtoa mada anamjibia hata mtu mwingine?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85] amechafukwa mbayaaa.Ndio. Swali lingine?
Nimecheka kweli[emoji38]Mara inshallah Mara ss wote ni Wa kristo acha fiksi Mkuu au una mdanganya DADA wa watu? Kama kweli mkristo tutajie kanuni ya imani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
We toa povu lakini uje na picha za arusi
Mbona hulaliHongereni
Kweli MsukumaHabari wana JF,
Kwa mnaokumbuka thread yangu ya kutafuta mke:
Nimefikia muda kuwa na Familia, kwa aliye tayari kwa Ndoa ajitokeze
Nimerudi kuwakushukuru, nimepata mke mwema wa kufanana nae, ninamshukuru Mungu sana, asanteni kwa michango yenu, asanteni kwa wanaume wenzangu mlionifata inbox na kunishauri niwe makini, asanteni kwa kina dada wote waliojitokeza, inshallah Mungu atawapeni wa kufanana nae.
Dada huyu ni member wa muda mrefu hapa JamiiForums, na hadi leo siamini kuwa mimi ndie mume wake mtarajiwa, kwahiyo inbobo zenu mnazomtumia mjue pia mimi ninazisoma, maana hatufichani lolote tena hadi sasa.
Wote ni wakristo, na mpango wetu ni kwenda kutambulishana kwa wazazi. Licha ya tofauti zetu kama vile za kiuchumi, umri, malezi, career, n.k., kwakweli we are in love and 'yo can't tell us anyting' 🙂
I love you coco. I know you are reading me. Nakupenda hadi moyo unasukuma damu kimadoido. Nakupenda hadi kazini wameshtuka kwamba I met someone kwasababu whenever I receive your text message, or a lunch invitation, natabasamu kwa furaha kubwa. Nakupenda mamii.
Wako,
Msukuma Msomi.
PS: Kwa mnaotusema vibaya, kwamba haiwezekani kufall in love ndani ya wiki 2, endeleeni na imani zenu. Naomba msubiri picha na kadi za mialiko ya harusi. Pia nipo kwenye mawasiliano na uongozi wa JF kuhusu utaratibu uliopo wa kuconfirm couple wa JamiiForums. Mimi na mwenzangu tunaamini upendo ni upendo, hauna kipimo cha muda. Kama wewe unaamini ni lazima ukae miezi 2 au 6 ndio ujue kuwa flani ni mke/mme wako. Follow what you believe, don't judge others.
SHILAWADUKama nawaona vile. All the bestView attachment 472781
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha ha hakyamungu mapenzi mapya kama nguo ya sikukuu kwa mtoto wa tandale