Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Yanii ni tabu kwakweli...Hatari sana, saa ingine hata mtu mwenye shida kweli hasaidiki kwa kuhisiwa tapeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanii ni tabu kwakweli...Hatari sana, saa ingine hata mtu mwenye shida kweli hasaidiki kwa kuhisiwa tapeli
Hamna mkuu Hilo sio tusi. Ni kiungo cha binadam ambacho kinafedhehesha tu. Nachukia mno watu twapambanaji wanapokutana na changamoto hiziDoh kumanina Jf twaelekea wapi yarabi!!!
Kuna mtu kiukweli anaboa anatapeli wanawake humu ni anataka kujua upoje tu basi akafurahi na group lake ila kukusaidia HAPANAV
Vipi tena dada
Pole sana, kuna watu na viatu, sasa huyu ni KATAMBUGA ni wa kumkwepa, usimuamini kizembe.Kuna mtu kiukweli anaboa anatapeli wanawake humu ni anataka kujua upoje tu basi akafurahi na group lake ila kukusaidia HAPANA
Ndio lazima nikae mbali nayePole sana, kuna watu na viatu, sasa huyu ni KATAMBUGA ni wa kumkwepa, usimuamini kizembe.
Hongera sana dadangu nilikua nina uwezo wa kukutengenezea banda ili kuokoa garama lakini pambana tu , yote heri kwako.Habari Za uzima Wana jamii wenzangu,
Mimi ni Yule mdada nilieleta wazo langu kuhusu biashara Kwa mtaji mdogo WA laki tatu Tu. Nashukuru nmepata mawazo mazuri nmefatilia Kwa utulivu na nimesoma maoni ya kila mtu. Maoni yangu Nimeamua sasa kuuza biashara ya Matunda Na genge mpaka sasa nmefatilia process ya kupata eneo nmepata.
Sasa nafatilia utengenezaji wa Banda la kawaida tu ambalo naomba Mungu lisimalize laki moja Na mtaji wangu nataka ubaki Kama laki moja Tu hiyo ndo nitaanza nayo, matengenezo mengine nitatengeneza Kadri Mungu atavyonijalia.
Asante sana mmenifungua mawazo nilikuwa Nawaza Sana kitu cha kufanya, kila nikiwaza nashindwa kutokana mtaji kuwa Ni changamoto.
NB: Tuweni Makini humu ndani sio wote wema wakati nipo kwenye mchakato alitokea mtu huku DM akaahidi kunipa kazi nilifurahi Sana kazi yenyewe ni ya sheli Na akadai IPO Arusha. Kama kawaida mimi nilimsikiliza akaniunganisha Na meneja feki ili wanitapeli hela.
Ni story ndefu siwezi kueleza lakini mwisho wa siku huyu boss akaomba hela ya uniform kama sh laki 1 na elfu 30. Dah Mungu Yuko upande wangu sikufanikiwa kutuma, nadhani ningetuma leo ningekuwa Na majonzi mapya.
My take: Mtu kaomba ushauri afanye nini ili ajikomboe na Maisha Na utegemezi sasa usiwe Tena chanzo cha kumrudisha nyuma huyu mtu.
Asanteni na nawatakia siku njema
Pia, soma=>Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?
Hapana unanisingizia kila mtu anajua wewe ndo mkorofi.Hivi nawe kumbe ni mkorofi [emoji1787][emoji1787]
Watu wanatumia kigezo cha shida na huruma nying kusaidiwa..Mimi alikuwa ni mdada, aliandika Uzi mrefu Sana kwamba kwa tatizo lake lilipofikia anaona tu bora afe.... Nikaguswa nikamfata pm kumuuliza Shida Nini akaniambia amepata ajali amevunjika mguu hawezi hata kutembea na hela hana ya kwendea hospital, nikaona story kama haimake sense flani hivi, nikamuhoji hoji akabadili akasema ni mama yake kijijini na sio yeye.
Nikaanza kuwaza huyu atakua ni tapeli, nikamwambia nitakusaidia hatakama ni wewe na mama yako wote mpo ndani ya uwezo, nendeni hospitali wawape control namba niwalipieni, akakataa akaanza na kunisema eti Kama Sina hela au Kama sitaki kumsaidia nisimchoshe anaadika huku anaumwa... Nikamwambia tu sawa nikaachana nae., Baada ya sikumbili nafungua pm nakutana na matusi hayo page nzima
Sijamuona nitajie na mimi nimjue
Angalia post namba 14Sijamuona nitajie na mimi nimjue
Duh [emoji23] alitaka asepe na vitu vyako vya ndaniNa alinihaidi mshahar WA shel ntakuwa nalipwa laki mbil Na elf 20 Na bonus zipo pia kutakuwa Na nyumba Za kulala Za bure Mimi Tu kwenda kufanya kazi pia vilevioe amesema kuhusu vitu vyangu vya hapa dar nisiuze nipelek buza ananyumba IPO empty nikaviweke Ni sehemu sahihi sana
Yeah ni kweli mkuuWatu wanatumia kigezo cha shida na huruma nying kusaidiwa..