Mrejesho mtaji wa laki 3: Nimeamua kuuza biashara ya matunda na genge

Hongera sana dadangu nilikua nina uwezo wa kukutengenezea banda ili kuokoa garama lakini pambana tu , yote heri kwako.
Ukifanikiwa usisahau kuleta mrejesho hata kwenye uzi huu, utajenga wengi wetu , barikiwa sana.
 
Watu wanatumia kigezo cha shida na huruma nying kusaidiwa..
 
Duh [emoji23] alitaka asepe na vitu vyako vya ndani
 
Kweli mungu yuko sahihi kuchoma baadhi ya watu
 
Dunia ina matapeli wengi,wameva ngozi za kondoo,tupunguze kuwaamin watu,fedha hubadlisha mioyo ya watu,fedha huonesha upande wa pili wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…