Mrejesho,mtoto wangu wakiume umri miaka 10 anakojoa mkojo uliochanganyikana na damu

Habar wakuu nimerudi kuwapa mrejesho,asubuh ya Leo nilifika hospital yamkoa tukafanya taratibu zote za kumuoona daktar,nikaandikiwa nimuone daktar wamkojo bas tukaingia kwa daktar nikajielezea hali ya mtoto ilivyoanza mpaka mda huo,dokta akauliza kama mtoto alipigwa eneo husika lasiri akasema hapana,ulidondoka akasema hapana hapana

Akamuliiza ulicheza sana mtoto akajibu hapana,akaulizwa maji anayotumia akiwa shule ni yakisima

Kwaiyo tukaandikwa vipimo akaenda kupima mkojo,na damu fbp,fb-electrophosesis,figo,

Majibu yalitoka dokta akasema hakuna shida yoyote mkojo uko sawa,damu Iko sawa hakuna kichocho,figo ziko sawa,fullblood picture Iko sawa,red blood cell haijatoka,nkamuuliza shida nini Sasa akasema labda infection kwenye kibofu au figo,Sasa kama itatokea Tena itabid mje tuangalie zaid kibofu kama kina shida,au figo,au kansa ya kibofu

Sasa majira ya saa nane alikunywa maji baadae saa moja kasoro akapata mkojo nikampa akakoje akapata mkojo usio kuwa umechanganyikana nadamu yaan alipata mkojo wa kawaida naambatanisha napicha,, Sasa tumepanda gari tukarud nyumbani tumefikaa saa tatu kasoro uku tukiwa na kopo la mkojo amabao aliukojoa ukiwa sawa tu hauna damu,kama dakika 20 baadae nikamwambia akaumwage kumbe alivyoumwaga akawa kakojoa Tena katika Hilo kopo akaniletea niuone mkojo ulivyo,kuiona ni mkojo umeochanganyikana nadamu kama kahahawia hivi au nyekundu flani iliopauka naambatanisha napicha yake hapa chini,Sasa saa Tano hii akajiskia kama mkojo umembana kaenda kukojoa na chupa akapata mkojo ulio sawa mchachee kama vifuniko vitatu hivi vya chupa ya maji

Ule mkojo aliokojoa saa tatu hii uliochanganyikana na damu nikauchukua nikiambatana na mtoto Hadi hospital nikafika mida ya saa nne usiku huu nikajielezea vyooote ila dokta akasema kwa saa hii huu mkojo umeshakaa mda mrefu tukiupima hautaweza kutupa majibu sahihini nivyema ukaja asubuh hata alfajiri pindi atakapokua kabanwa na mkojo njoo nae

Wadau madaktari na wasio madaktari changamoto hii ya kijana wangu yaweza kuwa nini hasa kina msumbua mtoto
Nakushangaa mzazi kuandika JF juu ya afya ya mtoto wako badala ya kupeleka hospitali haraka.
 
Hapa ndio nawaza tatizo lililopo
apime hivi hapa kesho mpeleke mapema sana

  1. Serum Creatinine
  2. eGFR (estimated Glomerular Filtration Rate)
  3. Urea/BUN
  4. Urinalysis (kipimo cha mkojo)
  5. Urine Albumin-to-Creatinine Ratio (UACR/ACR)
  6. Ultrasound ya figo
 
Pole Sana
Kuzaa Si Kazi. Kazi Kulea Mwanza
Rudi Tu Hospital
 
Habar wakuu nimerudi kuwapa mrejesho,asubuh ya Leo nilifika hospital yamkoa tukafanya taratibu zote za kumuoona daktar,nikaandikiwa nimuone daktar wamkojo bas tukaingia kwa daktar nikajielezea hali ya mtoto ilivyoanza mpaka mda huo,dokta akauliza kama mtoto alipigwa eneo husika lasiri akasema hapana,ulidondoka akasema hapana hapana

Akamuliiza ulicheza sana mtoto akajibu hapana,akaulizwa maji anayotumia akiwa shule ni yakisima

Kwaiyo tukaandikwa vipimo akaenda kupima mkojo,na damu fbp,fb-electrophosesis,figo,

Majibu yalitoka dokta akasema hakuna shida yoyote mkojo uko sawa,damu Iko sawa hakuna kichocho,figo ziko sawa,fullblood picture Iko sawa,red blood cell haijatoka,nkamuuliza shida nini Sasa akasema labda infection kwenye kibofu au figo,Sasa kama itatokea Tena itabid mje tuangalie zaid kibofu kama kina shida,au figo,au kansa ya kibofu

Sasa majira ya saa nane alikunywa maji baadae saa moja kasoro akapata mkojo nikampa akakoje akapata mkojo usio kuwa umechanganyikana nadamu yaan alipata mkojo wa kawaida naambatanisha napicha,, Sasa tumepanda gari tukarud nyumbani tumefikaa saa tatu kasoro uku tukiwa na kopo la mkojo amabao aliukojoa ukiwa sawa tu hauna damu,kama dakika 20 baadae nikamwambia akaumwage kumbe alivyoumwaga akawa kakojoa Tena katika Hilo kopo akaniletea niuone mkojo ulivyo,kuiona ni mkojo umeochanganyikana nadamu kama kahahawia hivi au nyekundu flani iliopauka naambatanisha napicha yake hapa chini,Sasa saa Tano hii akajiskia kama mkojo umembana kaenda kukojoa na chupa akapata mkojo ulio sawa mchachee kama vifuniko vitatu hivi vya chupa ya maji

Ule mkojo aliokojoa saa tatu hii uliochanganyikana na damu nikauchukua nikiambatana na mtoto Hadi hospital nikafika mida ya saa nne usiku huu nikajielezea vyooote ila dokta akasema kwa saa hii huu mkojo umeshakaa mda mrefu tukiupima hautaweza kutupa majibu sahihini nivyema ukaja asubuh hata alfajiri pindi atakapokua kabanwa na mkojo njoo nae

Wadau madaktari na wasio madaktari changamoto hii ya kijana wangu yaweza kuwa nini hasa kina msumbua mtoto
Naona shida iko kwako na tafsiri yako ya rangi ya mkojo wa mwanao.
 
Ddx, nephritis 🤝
 
Je inawezekana kapigwa teke na anaogopa kukuambia?
Kukojoa damu inawezekana kabisa
Mhoji bila ukali maana watoto wengine mnawapiga mpaka wanawaogopa
 
Mbona mtoto ameshapata matibabu tayar ila ugonjwa bado upo vile vile
Ukifika hospt. jaribu kumwomba dokt. aone kama ni UTI au ww umdodose mwanao anamazoea ya kula vitu gani esp. matunda au vinywaji vya viwandani e.g. watoto wengi hupenda kulamba juice za unga kavu-kavu bila kuweka maji.
 
Mtoto wangu anapenda juisi,chips na hata posheni ya chakula ni anakula heavy anaulafi
 
Hebu mpunguzie juisi na umpe maji zaidi au juisi ya kujitengenezea nyumbani.
Mfuatilie kwa ukaribu vitu anavyochezea-chezea au kushika-shika e.g. wadudu n.k.
 
Niko mkoa wa tabora,nawaza kusafiri kesho jioni kwenda hospital Sasa sjui niende hospital zipi za kati ya hii mikoa dar au dom

Sawa mie wa kusini, sijui hiyo mikoa. ila si uende hospitali hata private huko achekiwe kuanzia kidney etc
 
Anywe mgaji mengi muda mwingi itasaidi kusafisha kibofu na figo

Mzoeshe kutembea na maji
 
Back
Top Bottom