Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Nakushangaa mzazi kuandika JF juu ya afya ya mtoto wako badala ya kupeleka hospitali haraka.Habar wakuu nimerudi kuwapa mrejesho,asubuh ya Leo nilifika hospital yamkoa tukafanya taratibu zote za kumuoona daktar,nikaandikiwa nimuone daktar wamkojo bas tukaingia kwa daktar nikajielezea hali ya mtoto ilivyoanza mpaka mda huo,dokta akauliza kama mtoto alipigwa eneo husika lasiri akasema hapana,ulidondoka akasema hapana hapana
Akamuliiza ulicheza sana mtoto akajibu hapana,akaulizwa maji anayotumia akiwa shule ni yakisima
Kwaiyo tukaandikwa vipimo akaenda kupima mkojo,na damu fbp,fb-electrophosesis,figo,
Majibu yalitoka dokta akasema hakuna shida yoyote mkojo uko sawa,damu Iko sawa hakuna kichocho,figo ziko sawa,fullblood picture Iko sawa,red blood cell haijatoka,nkamuuliza shida nini Sasa akasema labda infection kwenye kibofu au figo,Sasa kama itatokea Tena itabid mje tuangalie zaid kibofu kama kina shida,au figo,au kansa ya kibofu
Sasa majira ya saa nane alikunywa maji baadae saa moja kasoro akapata mkojo nikampa akakoje akapata mkojo usio kuwa umechanganyikana nadamu yaan alipata mkojo wa kawaida naambatanisha napicha,, Sasa tumepanda gari tukarud nyumbani tumefikaa saa tatu kasoro uku tukiwa na kopo la mkojo amabao aliukojoa ukiwa sawa tu hauna damu,kama dakika 20 baadae nikamwambia akaumwage kumbe alivyoumwaga akawa kakojoa Tena katika Hilo kopo akaniletea niuone mkojo ulivyo,kuiona ni mkojo umeochanganyikana nadamu kama kahahawia hivi au nyekundu flani iliopauka naambatanisha napicha yake hapa chini,Sasa saa Tano hii akajiskia kama mkojo umembana kaenda kukojoa na chupa akapata mkojo ulio sawa mchachee kama vifuniko vitatu hivi vya chupa ya maji
Ule mkojo aliokojoa saa tatu hii uliochanganyikana na damu nikauchukua nikiambatana na mtoto Hadi hospital nikafika mida ya saa nne usiku huu nikajielezea vyooote ila dokta akasema kwa saa hii huu mkojo umeshakaa mda mrefu tukiupima hautaweza kutupa majibu sahihini nivyema ukaja asubuh hata alfajiri pindi atakapokua kabanwa na mkojo njoo nae
Wadau madaktari na wasio madaktari changamoto hii ya kijana wangu yaweza kuwa nini hasa kina msumbua mtoto
apime hivi hapa kesho mpeleke mapema sanaHapa ndio nawaza tatizo lililopo
Niko mkoa wa tabora,nawaza kusafiri kesho jioni kwenda hospital Sasa sjui niende hospital zipi za kati ya hii mikoa dar au domMpeleke haraka usikae nae ndani, ana maumivu au? Waangalie Kidneys zake pia muhimu
Mbona mtoto ameshapata matibabu tayar ila ugonjwa bado upo vile vileNakushangaa mzazi kuandika JF juu ya afya ya mtoto wako badala ya kupeleka hospitali haraka.
Naona shida iko kwako na tafsiri yako ya rangi ya mkojo wa mwanao.Habar wakuu nimerudi kuwapa mrejesho,asubuh ya Leo nilifika hospital yamkoa tukafanya taratibu zote za kumuoona daktar,nikaandikiwa nimuone daktar wamkojo bas tukaingia kwa daktar nikajielezea hali ya mtoto ilivyoanza mpaka mda huo,dokta akauliza kama mtoto alipigwa eneo husika lasiri akasema hapana,ulidondoka akasema hapana hapana
Akamuliiza ulicheza sana mtoto akajibu hapana,akaulizwa maji anayotumia akiwa shule ni yakisima
Kwaiyo tukaandikwa vipimo akaenda kupima mkojo,na damu fbp,fb-electrophosesis,figo,
Majibu yalitoka dokta akasema hakuna shida yoyote mkojo uko sawa,damu Iko sawa hakuna kichocho,figo ziko sawa,fullblood picture Iko sawa,red blood cell haijatoka,nkamuuliza shida nini Sasa akasema labda infection kwenye kibofu au figo,Sasa kama itatokea Tena itabid mje tuangalie zaid kibofu kama kina shida,au figo,au kansa ya kibofu
Sasa majira ya saa nane alikunywa maji baadae saa moja kasoro akapata mkojo nikampa akakoje akapata mkojo usio kuwa umechanganyikana nadamu yaan alipata mkojo wa kawaida naambatanisha napicha,, Sasa tumepanda gari tukarud nyumbani tumefikaa saa tatu kasoro uku tukiwa na kopo la mkojo amabao aliukojoa ukiwa sawa tu hauna damu,kama dakika 20 baadae nikamwambia akaumwage kumbe alivyoumwaga akawa kakojoa Tena katika Hilo kopo akaniletea niuone mkojo ulivyo,kuiona ni mkojo umeochanganyikana nadamu kama kahahawia hivi au nyekundu flani iliopauka naambatanisha napicha yake hapa chini,Sasa saa Tano hii akajiskia kama mkojo umembana kaenda kukojoa na chupa akapata mkojo ulio sawa mchachee kama vifuniko vitatu hivi vya chupa ya maji
Ule mkojo aliokojoa saa tatu hii uliochanganyikana na damu nikauchukua nikiambatana na mtoto Hadi hospital nikafika mida ya saa nne usiku huu nikajielezea vyooote ila dokta akasema kwa saa hii huu mkojo umeshakaa mda mrefu tukiupima hautaweza kutupa majibu sahihini nivyema ukaja asubuh hata alfajiri pindi atakapokua kabanwa na mkojo njoo nae
Wadau madaktari na wasio madaktari changamoto hii ya kijana wangu yaweza kuwa nini hasa kina msumbua mtoto
Ddx, nephritis 🤝Habar wakuu nimerudi kuwapa mrejesho,asubuh ya Leo nilifika hospital yamkoa tukafanya taratibu zote za kumuoona daktar,nikaandikiwa nimuone daktar wamkojo bas tukaingia kwa daktar nikajielezea hali ya mtoto ilivyoanza mpaka mda huo,dokta akauliza kama mtoto alipigwa eneo husika lasiri akasema hapana,ulidondoka akasema hapana hapana
Akamuliiza ulicheza sana mtoto akajibu hapana,akaulizwa maji anayotumia akiwa shule ni yakisima
Kwaiyo tukaandikwa vipimo akaenda kupima mkojo,na damu fbp,fb-electrophosesis,figo,
Majibu yalitoka dokta akasema hakuna shida yoyote mkojo uko sawa,damu Iko sawa hakuna kichocho,figo ziko sawa,fullblood picture Iko sawa,red blood cell haijatoka,nkamuuliza shida nini Sasa akasema labda infection kwenye kibofu au figo,Sasa kama itatokea Tena itabid mje tuangalie zaid kibofu kama kina shida,au figo,au kansa ya kibofu
Sasa majira ya saa nane alikunywa maji baadae saa moja kasoro akapata mkojo nikampa akakoje akapata mkojo usio kuwa umechanganyikana nadamu yaan alipata mkojo wa kawaida naambatanisha napicha,, Sasa tumepanda gari tukarud nyumbani tumefikaa saa tatu kasoro uku tukiwa na kopo la mkojo amabao aliukojoa ukiwa sawa tu hauna damu,kama dakika 20 baadae nikamwambia akaumwage kumbe alivyoumwaga akawa kakojoa Tena katika Hilo kopo akaniletea niuone mkojo ulivyo,kuiona ni mkojo umeochanganyikana nadamu kama kahahawia hivi au nyekundu flani iliopauka naambatanisha napicha yake hapa chini,Sasa saa Tano hii akajiskia kama mkojo umembana kaenda kukojoa na chupa akapata mkojo ulio sawa mchachee kama vifuniko vitatu hivi vya chupa ya maji
Ule mkojo aliokojoa saa tatu hii uliochanganyikana na damu nikauchukua nikiambatana na mtoto Hadi hospital nikafika mida ya saa nne usiku huu nikajielezea vyooote ila dokta akasema kwa saa hii huu mkojo umeshakaa mda mrefu tukiupima hautaweza kutupa majibu sahihini nivyema ukaja asubuh hata alfajiri pindi atakapokua kabanwa na mkojo njoo nae
Wadau madaktari na wasio madaktari changamoto hii ya kijana wangu yaweza kuwa nini hasa kina msumbua mtoto
Ndio nin mkuuDdx, nephritis 🤝
Ukifika hospt. jaribu kumwomba dokt. aone kama ni UTI au ww umdodose mwanao anamazoea ya kula vitu gani esp. matunda au vinywaji vya viwandani e.g. watoto wengi hupenda kulamba juice za unga kavu-kavu bila kuweka maji.Mbona mtoto ameshapata matibabu tayar ila ugonjwa bado upo vile vile
Mtoto wangu anapenda juisi,chips na hata posheni ya chakula ni anakula heavy anaulafiUkifika hospt. jaribu kumwomba dokt. aone kama ni UTI au ww umdodose mwanao anamazoea ya kula vitu gani esp. matunda au vinywaji vya viwandani e.g. watoto wengi hupenda kulamba juice za unga kavu-kavu bila kuweka maji.
Bado hajamaliza matibabu bro.Mbona mtoto ameshapata matibabu tayar ila ugonjwa bado upo vile vile
Hebu mpunguzie juisi na umpe maji zaidi au juisi ya kujitengenezea nyumbani.Mtoto wangu anapenda juisi,chips na hata posheni ya chakula ni anakula heavy anaulafi
Huu uko sawa hauna shidaPicha ya mkojo aliokojoa saa moja
Niko mkoa wa tabora,nawaza kusafiri kesho jioni kwenda hospital Sasa sjui niende hospital zipi za kati ya hii mikoa dar au dom