Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Nimecheka sana jinsi alivyosema
Huwez kua na chura ukakosa bwana,wewe huna chura..halaf
aririwa cheusi chekundu........aliukabidhi mchepuko account yake.........Hivi we walikufanyaje kwani? Kila nikuonapo ni malalamiko tu
Umefanya vizuri kuniachia hii game.Nina sifa zote unazozitaka, ila mimi bado serengeti boy. Ngoja niwaachie washua nafasi.
Hitaji lako litatimizwa kwa mapenzi ya Mungu.
😂😂😂Mungu naomba nisaidie nisikutane na mabaharia..