Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasu ya kweli haya ?Tatizo lenu nyie wanawake mnazingua sana na mara nyingi mnaweka haya matangazo kama utani tu na kuwachora watu, inshort shetani iwasamehe tu kwa hii michezo yenu.
Kwani hakunaga mrejesho wa kukosa..??Nilijua amepata, maana nimeona mrejesho.
Kwani hakunaga mrejesho wa kukosa..??
Unasema PM ngingine umeshindwa kuzifungua , what if hizo ambazo hukufungua ndipo lilipo chaguo lako, usitupotezee muda! PERIODHabari za muda huu wana jf
Miezi kadhaa iliyopita nilituma ujumbe hapa jukwaani kwa lengo la kutafuta mwenzio wa maisha, niseme tu nashukuru mana ujumbe ulipokelewa vema hakuna aliyenibeza kama wafanyiwavyo wengine lakini bahati nzuri au mbaya nilikuwa too general kitu ambacho kilipelekea kuwa na pm nyingi hata zingine si kuweza kufungua wala kujibu, (I'm sorry kama nitakuwa nimekosea kusema hayo).
Bado nahitaji kuwa serious relationship
Sifa zangu
Mkristo :Madhehebu ya protestant
Umri:27-30
Elimu:BSc.
Kazi:Nina mkataba wa kudumu
Ukanda:Kanda ya kaskazini
Rangi: Maji ya kunde
Urefu:Above 150
Body : Mwembamba
Nilikuwa dar es salaam kimakazi ila kwa sasa nitakuwa dodoma makazi mapya
Sifa za mwanaume ambaye nimekuwa nikimuomba
Asiwe mlevi au mnywaji wa pombe sigara, asiyependa tattoo, kiduku wala mambo yanayofanana na hayo(na Amini kila mtu ana vipaumbele vyake)
Mkristo mwenye hofu ya Mungu anayependa ibada na asiye na mambo mengi
Awe mtafutaji ambaye yupo tayari kushaurika
Inafaa awe na elimu kama yangu au anizidi kama elimu yake ipo chini awe mwenye kujiamini sana Asiwe na zile mitazamo za kiafrica ili tusiwe na migogoro( only great thinker will understand)
Hayo nafikiri yanatosha
Mungu naomba nisaidie nisikutane na mabaharia naomba pm aje mtu sahihi peke yake , amen
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza jaziba, Keshanipata.hahahahUnasema PM ngingine umeshindwa kuzifungua , what if hizo ambazo hukufungua ndipo lilipo chaguo lako, usitupotezee muda! PERIOD
Huyu mwanamke ni very smart, intelligent , na kaandika ktk mantiki ya u hitaji, hajaonyesha kujidai, wala maringo wala kutokua na masiala.Otherwise labda kama unadanganya but kwa elimu na kazi uliyo nayo na unasema unamtaka mtu samart na Intelligent ( kwa nilivo tafsiri baada ya kusoma andiko lako) najua kabisa lazma na wewe utakuwa hivo au Zaidi ya hapo.
haiwezekani hata siku moja ukaja kutafta humu mwanaume kwa sifa ulizoorodhesha, wenye sifa hizo washaolewa na ungechangamkiwa kama dhahabu huko mtaani,kanisani na kazini unakofanyia.
humu utapigwa miti, Unatumia ID feki unakutana na mtu ID feki unataka uingie nae kwenye mahusiano serious ya Maisha...
wewe utakuwa hauko serious na huo userious
Mungu atakupa unachostahili, siyo unachoomba.Habari za muda huu wana jf
Miezi kadhaa iliyopita nilituma ujumbe hapa jukwaani kwa lengo la kutafuta mwenzio wa maisha, niseme tu nashukuru mana ujumbe ulipokelewa vema hakuna aliyenibeza kama wafanyiwavyo wengine lakini bahati nzuri au mbaya nilikuwa too general kitu ambacho kilipelekea kuwa na pm nyingi hata zingine si kuweza kufungua wala kujibu, (I'm sorry kama nitakuwa nimekosea kusema hayo).
Bado nahitaji kuwa serious relationship
Sifa zangu
Mkristo :Madhehebu ya protestant
Umri:27-30
Elimu:BSc.
Kazi:Nina mkataba wa kudumu
Ukanda:Kanda ya kaskazini
Rangi: Maji ya kunde
Urefu:Above 150
Body : Mwembamba
Nilikuwa dar es salaam kimakazi ila kwa sasa nitakuwa dodoma makazi mapya
Sifa za mwanaume ambaye nimekuwa nikimuomba
Asiwe mlevi au mnywaji wa pombe sigara, asiyependa tattoo, kiduku wala mambo yanayofanana na hayo(na Amini kila mtu ana vipaumbele vyake)
Mkristo mwenye hofu ya Mungu anayependa ibada na asiye na mambo mengi
Awe mtafutaji ambaye yupo tayari kushaurika
Inafaa awe na elimu kama yangu au anizidi kama elimu yake ipo chini awe mwenye kujiamini sana Asiwe na zile mitazamo za kiafrica ili tusiwe na migogoro( only great thinker will understand)
Hayo nafikiri yanatosha
Mungu naomba nisaidie nisikutane na mabaharia naomba pm aje mtu sahihi peke yake , amen
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaMungu atakupa unachostahili, siyo unachoomba.
Usipoangukia kwa Baharia wa Kanda ya Ziwa; utaangukia kwa Baharia wa Dodoma a.k.a Zero IQ
Karibu Pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikufata Nistue Mkuu namie nmchekiNjoo PM dada mm nipo na nina vigezo vyote hapo juu.
Njoo pmHabari za muda huu wana jf
Miezi kadhaa iliyopita nilituma ujumbe hapa jukwaani kwa lengo la kutafuta mwenzio wa maisha, niseme tu nashukuru mana ujumbe ulipokelewa vema hakuna aliyenibeza kama wafanyiwavyo wengine lakini bahati nzuri au mbaya nilikuwa too general kitu ambacho kilipelekea kuwa na pm nyingi hata zingine si kuweza kufungua wala kujibu, (I'm sorry kama nitakuwa nimekosea kusema hayo).
Bado nahitaji kuwa serious relationship
Sifa zangu
Mkristo :Madhehebu ya protestant
Umri:27-30
Elimu:BSc.
Kazi:Nina mkataba wa kudumu
Ukanda:Kanda ya kaskazini
Rangi: Maji ya kunde
Urefu:Above 150
Body : Mwembamba
Nilikuwa dar es salaam kimakazi ila kwa sasa nitakuwa dodoma makazi mapya
Sifa za mwanaume ambaye nimekuwa nikimuomba
Asiwe mlevi au mnywaji wa pombe sigara, asiyependa tattoo, kiduku wala mambo yanayofanana na hayo(na Amini kila mtu ana vipaumbele vyake)
Mkristo mwenye hofu ya Mungu anayependa ibada na asiye na mambo mengi
Awe mtafutaji ambaye yupo tayari kushaurika
Inafaa awe na elimu kama yangu au anizidi kama elimu yake ipo chini awe mwenye kujiamini sana Asiwe na zile mitazamo za kiafrica ili tusiwe na migogoro( only great thinker will understand)
Hayo nafikiri yanatosha
Mungu naomba nisaidie nisikutane na mabaharia naomba pm aje mtu sahihi peke yake , amen
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah, ninemiss hii fursa kila la heri, acha nisubirie mwingine.Asanteni kwa wote mlioniandikia jumbe pm
Nimetoa namba kwa mtu mmoja tu ambaye aliugusa moyo wangu.
Bado tunafahamiana kama marafiki na ikimpendeza Mungu tutakuwa wachumba, nashukuru kwa ushauri wenu mzuri katika post yangu nitauzingatia sana
Naomba mtuombee tu na kututakia mema
Asanteni Mungu awabariki wana Jf wote
#Pm imefungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za muda huu wana jf
Miezi kadhaa iliyopita nilituma ujumbe hapa jukwaani kwa lengo la kutafuta mwenzio wa maisha, niseme tu nashukuru mana ujumbe ulipokelewa vema hakuna aliyenibeza kama wafanyiwavyo wengine lakini bahati nzuri au mbaya nilikuwa too general kitu ambacho kilipelekea kuwa na pm nyingi hata zingine si kuweza kufungua wala kujibu, (I'm sorry kama nitakuwa nimekosea kusema hayo).
Bado nahitaji kuwa serious relationship
Sifa zangu
Mkristo :Madhehebu ya protestant
Umri:27-30
Elimu:BSc.
Kazi:Nina mkataba wa kudumu
Ukanda:Kanda ya kaskazini
Rangi: Maji ya kunde
Urefu:Above 150
Body : Mwembamba
Nilikuwa dar es salaam kimakazi ila kwa sasa nitakuwa dodoma makazi mapya
Sifa za mwanaume ambaye nimekuwa nikimuomba
Asiwe mlevi au mnywaji wa pombe sigara, asiyependa tattoo, kiduku wala mambo yanayofanana na hayo(na Amini kila mtu ana vipaumbele vyake)
Mkristo mwenye hofu ya Mungu anayependa ibada na asiye na mambo mengi
Awe mtafutaji ambaye yupo tayari kushaurika
Inafaa awe na elimu kama yangu au anizidi kama elimu yake ipo chini awe mwenye kujiamini sana Asiwe na zile mitazamo za kiafrica ili tusiwe na migogoro( only great thinker will understand)
Hayo nafikiri yanatosha
Mungu naomba nisaidie nisikutane na mabaharia naomba pm aje mtu sahihi peke yake , amen
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] SijamjibuAkikufata Nistue Mkuu namie nmcheki
"What is yours will always be yours no matter what "