DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Mkuu Nasu nakusihi Sana fuata ushauri huuPole sana dada. Tatizo kubwa kiupande wako kwa stage uliyonayo sasa ni dini yako. Ungelikua Muislamu au upo tayari kuolewa na Muislamu naamini tayari ungelikua ushapata mtu,
Waisilamu ni wepesi wakuoa. Na kubwa zaidi wanaweza kuoa zaidi ya mke mmoja. Nahili ndio litakua advantage kiupande wako.
Mana kiuhalisia kwa mazingira kama yako career oriented women munakua wagumu sana kwenye ndoa. Hamupo tayari kuwa chini au kutumia mda wako mwingi kwa ajili ya mume. Na wanaume wengi bila ya kupata mke anaetumia mda mwingi kwa ajili yake wenyewe wanaita (wife material) basi haridhiki.
Sasa ukipata mwanaume mwenye mke mwengine maana yake huyo mwenza wako atakupunguzia mzigo (majukumu ya ndoa) naweye utajipunguzia mzigo. Hapo sasa utaweza kubalance vizuri shughuli zako za kazi na familia yako.
Kwa ushauri wa ziada, ukihisi mambo bado yanakua magumu, hicho kipengele cha dini ningekushauri kiengue, italeta wepesi mkubwa kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app