dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Niriumwa[emoji777]Niriumwa nyoka sitakiiiiiiii I am done
Don't make a promise you can't fulfill...
Niliumwa[emoji818]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niriumwa[emoji777]Niriumwa nyoka sitakiiiiiiii I am done
Don't make a promise you can't fulfill...
Karibu Sana pm hutajutia nakumbia hutajutiaHabari za muda huu wana jf
Miezi kadhaa iliyopita nilituma ujumbe hapa jukwaani kwa lengo la kutafuta mwenzio wa maisha, niseme tu nashukuru mana ujumbe ulipokelewa vema hakuna aliyenibeza kama wafanyiwavyo wengine lakini bahati nzuri au mbaya nilikuwa too general kitu ambacho kilipelekea kuwa na pm nyingi hata zingine si kuweza kufungua wala kujibu, (I'm sorry kama nitakuwa nimekosea kusema hayo).
Bado nahitaji kuwa serious relationship
Sifa zangu
Mkristo :Madhehebu ya protestant
Umri:27-30
Elimu:BSc.
Kazi:Nina mkataba wa kudumu
Ukanda:Kanda ya kaskazini
Rangi: Maji ya kunde
Urefu:Above 150
Body : Mwembamba
Nilikuwa dar es salaam kimakazi ila kwa sasa nitakuwa dodoma makazi mapya
Sifa za mwanaume ambaye nimekuwa nikimuomba
Asiwe mlevi au mnywaji wa pombe sigara, asiyependa tattoo, kiduku wala mambo yanayofanana na hayo(na Amini kila mtu ana vipaumbele vyake)
Mkristo mwenye hofu ya Mungu anayependa ibada na asiye na mambo mengi
Awe mtafutaji ambaye yupo tayari kushaurika
Inafaa awe na elimu kama yangu au anizidi kama elimu yake ipo chini awe mwenye kujiamini sana Asiwe na zile mitazamo za kiafrica ili tusiwe na migogoro( only great thinker will understand)
Hayo nafikiri yanatosha
Mungu naomba nisaidie nisikutane na mabaharia naomba pm aje mtu sahihi peke yake , amen
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna umri sahihi wa kuwa desperate kwa ajili ya mume /mke vitu vingine kama ndoa na mahusiano vinakuja automatically ni yeye tuu kutukiza akili na kumchagua wake wakuishi naeVipi akishafika 33 na hajaona? Hapo ataruhusiwa kuwa desperate? Ushauri huu umamfaa iwapo tu amejiandaa kwa matokeo yote mawili...kupata au kukosa. Kama ndio wale wanaoamini kwa vyovyote vile ni lazima aolewe acha tu atafute mapema, akiibuka na furushi atapambana nalo mbele ya safari hitaji lake litakuwa limetimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za muda huu wana jf
Miezi kadhaa iliyopita nilituma ujumbe hapa jukwaani kwa lengo la kutafuta mwenzio wa maisha, niseme tu nashukuru mana ujumbe ulipokelewa vema hakuna aliyenibeza kama wafanyiwavyo wengine lakini bahati nzuri au mbaya nilikuwa too general kitu ambacho kilipelekea kuwa na pm nyingi hata zingine si kuweza kufungua wala kujibu, (I'm sorry kama nitakuwa nimekosea kusema hayo).
Bado nahitaji kuwa serious relationship
Sifa zangu
Mkristo :Madhehebu ya protestant
Umri:27-30
Elimu:BSc.
Kazi:Nina mkataba wa kudumu
Ukanda:Kanda ya kaskazini
Rangi: Maji ya kunde
Urefu:Above 150
Body : Mwembamba
Nilikuwa dar es salaam kimakazi ila kwa sasa nitakuwa dodoma makazi mapya
Sifa za mwanaume ambaye nimekuwa nikimuomba
Asiwe mlevi au mnywaji wa pombe sigara, asiyependa tattoo, kiduku wala mambo yanayofanana na hayo(na Amini kila mtu ana vipaumbele vyake)
Mkristo mwenye hofu ya Mungu anayependa ibada na asiye na mambo mengi
Awe mtafutaji ambaye yupo tayari kushaurika
Inafaa awe na elimu kama yangu au anizidi kama elimu yake ipo chini awe mwenye kujiamini sana Asiwe na zile mitazamo za kiafrica ili tusiwe na migogoro( only great thinker will understand)
Hayo nafikiri yanatosha
Mungu naomba nisaidie nisikutane na mabaharia naomba pm aje mtu sahihi peke yake , amen
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe upojeHabari za muda huu wana jf

Tengeneza wa kwakoHabari za muda huu wana jf

We sijui unadhani MUNGU ni mzee Jolijo...!! umpeleke tu utakavyoHabari za muda huu wana jf

Ninazo hizo sifa tuwasilianeHabari za muda huu wana jf

Hongera, Ukiachana na Blah blah kua makini , Sio kuchanua mapaja uko ,baadae urudi tena humu na ID hiii hii. Mabaharia kilichopo kichwan nikwamba utakua Umeliwa kwaiyo atakayefata naye atakua MTU wa masihara sababu sisi wanaume "Huwa hatumkubali mtu tukishajua tu aliliwa namtu tunayemjua au aliye toka ktk Jamii tunayoijua ..kwa ajili ya kutunza Heshima yetu, tunaogopa , 'Jamaa anataka kuoa Demu niliyemkanyaga ?'.. ndio maana unaona , Mimi Msukuma, Utashangaa naenda kuoa Mbeya ukooo , Ruvuma hahahahAsanteni kwa wote mlioniandikia jumbe pm
Nimetoa namba kwa mtu mmoja tu ambaye aliugusa moyo wangu.
Bado tunafahamiana kama marafiki na ikimpendeza Mungu tutakuwa wachumba, nashukuru kwa ushauri wenu mzuri katika post yangu nitauzingatia sana
Naomba mtuombee tu na kututakia mema
Asanteni Mungu awabariki wana Jf wote
#Pm imefungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada hujataja umri wa mwanaume unayemtaka.
Pia,
ilo suala la elimu kuanzia levo za vyuo Litakusumbua Sana ktk Kupata chaguo sahihi.
Ningependekeza ungelifuta, ukaweka vigezo vya MUHIMU zaidi.
Kwa maana skuhz,
Hata wapumbavu nao wanavika vyuo vikuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajasema lazima aanzie levo ya chuo, amesema chini ya hapo anatakiwa awe anajiamini, hataki mambo mmekosana tu kidogo anakimbilia kusema 'unanidharau kwa sababu sijasoma' ....kosa la kibinadamu tu ambalo hata asiyejua kusoma na kuandika anaweza kukoseaMtoa mada hujataja umri wa mwanaume unayemtaka.