Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

Pale ulipopuuzia PM yangu tu nikajua bado hauko serious kutafuta mume.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mtu akikuuliza una umri gani utasema nina miaka 27-30?

Urefu wa zaidi ya 150 ndio nini?

Unaidhalilisha taaluma yako.
 
haha, nilidhani nimeona peke yangu. Bahati mbaya hataki sisi wa fomu thirii bii.
Umeni quote vibaya, problem ipo kwa wanaume wenyewe ndo mana nikaeleza vizuri kwamba kama huna elimu hiyo basi uwe mwanaume unayejiamini sana yani kigezo cha mke kukuzidi elimu kisiwe hoja kwako (nafikiri kuna mtu anaelewa) , yote hayo ni kuepusha migongano tu sina maana mbaya



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…