Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

Umeni quote vibaya, problem ipo kwa wanaume wenyewe ndo mana nikaeleza vizuri kwamba kama huna elimu hiyo basi uwe mwanaume unayejiamini sana yani kigezo cha mke kukuzidi elimu kisiwe hoja kwako (nafikiri kuna mtu anaelewa) , yote hayo ni kuepusha migongano tu sina maana mbaya



Sent using Jamii Forums mobile app
We unaonekana ni mke matirio ngoja nije pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la kheri mkuu, ikiwa itamoendeza Mungu akupe wepesi kwa hitaji la moyo wako.
Karibu sana Dodoma, kama haujapata nyumba usihofu kunisemesha.
Kuna nyumba inapangishwa, ipo umbali wa dakika 3 hadi kituo cha daladala, imezungushiwa ukuta na geti, ina mpangaji wa kushare nae (mtakuwa wapangaji wawili), nyumba ipo Nkuhungu karibu na St. Home school.
Karibu tena hapa Dom

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah aseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom