Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

1. Non Drinker

2. Non Smoker

3. Si Mtokaji sana ( Ingawa I sometimes rarely do it when i'm stressed )

4. Siyo Shabiki saaana wa mpira.

5. Elimu | Diploma | Kazi Mlinzi | Makazi Dar | Asili Butiama, Mara | Kabila Zanaki

6. Umri 30.

7. Umbo | Mwembamba | Mrefu Mweusi Kiasi | Lafudhi ya Kizanaki

NiPM | If Serious.
Mkuu wewe ni mlinzi kweli kama hawa tunaowajua au ni mlinzi special?
Uandishi wako si wa hawa walinzi wetu.


~I moved your cheese! So what?~
 
Huyo mpangaji aliyepo ndihe wewe? Unasubiri ahamie ule tunda kimasihara,?

Kama ni hivo usisahau kuleta mrejesho kwenye uzi wetu pendwa...
Kila la kheri mkuu, ikiwa itamoendeza Mungu akupe wepesi kwa hitaji la moyo wako.
Karibu sana Dodoma, kama haujapata nyumba usihofu kunisemesha.
Kuna nyumba inapangishwa, ipo umbali wa dakika 3 hadi kituo cha daladala, imezungushiwa ukuta na geti, ina mpangaji wa kushare nae (mtakuwa wapangaji wawili), nyumba ipo Nkuhungu karibu na St. Home school.
Karibu tena hapa Dom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom