Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

Habari za muda huu wana jf

Miezi kadhaa iliyopita nilituma ujumbe hapa jukwaani kwa lengo la kutafuta mwenzio wa maisha, niseme tu nashukuru mana ujumbe ulipokelewa vema hakuna aliyenibeza kama wafanyiwavyo wengine lakini bahati nzuri au mbaya nilikuwa too general kitu ambacho kilipelekea kuwa na pm nyingi hata zingine si kuweza kufungua wala kujibu, (I'm sorry kama nitakuwa nimekosea kusema hayo).

Bado nahitaji kuwa serious relationship
Sifa zangu
Mkristo :Madhehebu ya protestant
Umri:27-30
Elimu:BSc.
Kazi:Nina mkataba wa kudumu
Ukanda:Kanda ya kaskazini
Rangi: Maji ya kunde
Urefu:Above 150
Body : Mwembamba
Nilikuwa dar es salaam kimakazi ila kwa sasa nitakuwa dodoma makazi mapya

Sifa za mwanaume ambaye nimekuwa nikimuomba
Asiwe mlevi au mnywaji wa pombe sigara, asiyependa tattoo, kiduku wala mambo yanayofanana na hayo(na Amini kila mtu ana vipaumbele vyake)

Mkristo mwenye hofu ya Mungu anayependa ibada na asiye na mambo mengi

Awe mtafutaji ambaye yupo tayari kushaurika

Inafaa awe na elimu kama yangu au anizidi kama elimu yake ipo chini awe mwenye kujiamini sana Asiwe na zile mitazamo za kiafrica ili tusiwe na migogoro( only great thinker will understand)

Hayo nafikiri yanatosha

Mungu naomba nisaidie nisikutane na mabaharia naomba pm aje mtu sahihi peke yake , amen

Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni single mother au hauna mtoto

vigezo vingi sana,pengine labda umuumbe wa kwako ndio atafit condition zako zote hizo.

kwa sababu hata malaika hana hizo sifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My CV
- rangi;mweusi
-mnene kiasi na kitambi cha wastan
-dini msabato
-sinyoi kiduk
_-sivai mlegezo
- elim form 6
Urefu Ni wa wastan
Umri October nafikisha 30
-baijiamin kuliko kawaida
- kabila mluo
- makazi musoma Mara
- Kazi mjasiriamali
Kabla cjakufuata pm nipe max kwanza kwa CV hzo ili nisijekua kati ya zile SMS zisizosomwa

-
 
Kwa umri wako jitahidi uwe unawatongoza wanaume,mambo yamebadilika
 
Back
Top Bottom