Mrejesho: Mwanaume niliyelizwa na mapenzi

Mrejesho: Mwanaume niliyelizwa na mapenzi

I'm very spiritual man.
Kwanza hapo mwanzo bidada yule aliyeutesa moyo wangu nilipo mtamkia kuwa nampenda alinikataa.

Lakini kwa kiburi changu na Roho ya kutokukubali kushindwa niliamua Kufanya kuishawishi nafsi ya dada huyo hata akiwa mbali, niliisemesha roho yake na kumwambia maneno mazuri na kujinadi kuwa ni mimi pekee nimpendae kwa dhati

Nguvu yangu ya kiroho kweli ilifanikiwa kumshawishi dada huyo na hadi kufanikiwa kulala nae.

Lakini naona anazidi kuwa mwiba kwangu kwa vitu vingi.

Yamenikuta aisee makubwa sana..

Mungu alitupa mamlaka ya ombeni chochote na mimi nilitumia mamlaka hiyo na sasa najuta.
Sasa nimejifunza vizuri Kisemo cha Biblia .. ...
"Ukililia Nyama, unapewa nyama kisha unakondeshwa Roho"

Hayo ndio yamenikuta wapendwa.

Sasa nimeamua kubadili maombi yangu na hakika imenisaidia sana.
Sasa naomba binti huyu atoke kabisa kwenye maisha Yangu, sitaki tena upenzi nae.
Leo usiku nitamalizia maombi yangu na kuwa Free kabisa.

Ni hayo tu wakuu.

By mr. Ip_kiss Surya
Yaaani una muomba Mungu kwenye dhambi(zinaa). Acha ujinga ndugu wa kuhalalisha zinaa. Umemuoa huyo dada??? Na kama hujamuoa huyo ni shetani unayemuomba sio Mungu kwa maana alisema msizini
 
Ikiwa hujamuowa ni uzinifu, kumtano mwanamke kingono hata kama haujalala nae ni uzinifu tayali
 
Mtu wa kiroho upande wa gizani, yes wana hizo nguvu na ndiyo ajira yao mchana na usiku.
 
I'm very spiritual man.
Kwanza hapo mwanzo bidada yule aliyeutesa moyo wangu nilipo mtamkia kuwa nampenda alinikataa.

Lakini kwa kiburi changu na Roho ya kutokukubali kushindwa niliamua Kufanya kuishawishi nafsi ya dada huyo hata akiwa mbali, niliisemesha roho yake na kumwambia maneno mazuri na kujinadi kuwa ni mimi pekee nimpendae kwa dhati

Nguvu yangu ya kiroho kweli ilifanikiwa kumshawishi dada huyo na hadi kufanikiwa kulala nae.

Lakini naona anazidi kuwa mwiba kwangu kwa vitu vingi.

Yamenikuta aisee makubwa sana..

Mungu alitupa mamlaka ya ombeni chochote na mimi nilitumia mamlaka hiyo na sasa najuta.
Sasa nimejifunza vizuri Kisemo cha Biblia .. ...
"Ukililia Nyama, unapewa nyama kisha unakondeshwa Roho"

Hayo ndio yamenikuta wapendwa.

Sasa nimeamua kubadili maombi yangu na hakika imenisaidia sana.
Sasa naomba binti huyu atoke kabisa kwenye maisha Yangu, sitaki tena upenzi nae.
Leo usiku nitamalizia maombi yangu na kuwa Free kabisa.

Ni hayo tu wakuu.

By mr. Ip_kiss Surya
[emoji16][emoji848]
[emoji848][emoji848][emoji849]
 
Shetani uliye naye anakupeleka kuzimu hakika. Yaani unafaa kusema ku....... sio vibaya sijui nini na nini. Zile sheria za Mungu ambazo zinatuomgoza moja ndio hiyo inasema usizini. Turudi tena utakua mwenda wazimu wa kiwango cha juu kama utatudanganya kuwa umempokea Yesu Kristo maishani mwako afu bado upo kwenye zinaa.. nirudie tena kusema au kukumbushia Yesu alipomtetea yule mwanamke alitaka kupigwa mawe na watu baada ya kufumwa akizini alimuambia aenende zake ila asirudie kutenda dhambi upo..? Ipo mifano mingi ndani ya biblia Yesu ana wakataza watu kutenda dhambi akiwasisitiza weenende zao ila wasirudie kutenda dhambi
Zinaa wap na wewe.
Ukiwa na Demu mmoja ni zinaa?
 
"Aziniye na Ke hana akili"

Sawa mkuu, je aziniye na me ana akili?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Zinaa wap na wewe.
Ukiwa na Demu mmoja ni zinaa?
Mkuu zinaa ni nini..?.maana ukute hata hujui zinaa ni kitu gani.? Demu sio mke hivyo hiyo bado.ni zinaa. Muoe ndoa halali.iwe kanisani, msikitini, kimila au serikalin
 
Mkuu zinaa ni nini..?.maana ukute hata hujui zinaa ni kitu gani.? Demu sio mke hivyo hiyo bado.ni zinaa. Muoe ndoa halali.iwe kanisani, msikitini, kimila au serikalin
Biblia ndo inakufundisha hivo kuwa, ndoa lazima ifanyike kanisani wawepo na mashahidi na kuandikishana makaratasi.

Mwanamke na mwanaume hawawezi wakakubaliana wenyewe wawili kuwa sasa tuwe mke na Mume..???
 
Ili uwe mke na muwe lazima muhalalishwe hatua ya kwanza mritjiane, ya pili wazazi wajue na jamii ijue kuwa nyie ninmke na mume. Hivyo hizo za kuibana kukulana lodge nk ni.zinaaa tu. Usijiteteee. Kasome kua ndoa nini..?
 
Kuna mawili ninayo yajua ndio yaliyo kuponza

1.Ninavyojua mimi Mungu ndie mgawaji wa kila kitu na Mke mwema hutoka kwa Mungu sasa wewe uliyataka mapenzi yako wewe yalio kukuta ndio hayo

2.Uzinzi ni shida sana hasa kwa wanaume uliamua kupooza Mbupu
 
Back
Top Bottom