Mrejesho: Mwanaume niliyelizwa na mapenzi

Yaaani una muomba Mungu kwenye dhambi(zinaa). Acha ujinga ndugu wa kuhalalisha zinaa. Umemuoa huyo dada??? Na kama hujamuoa huyo ni shetani unayemuomba sio Mungu kwa maana alisema msizini
 
Ikiwa hujamuowa ni uzinifu, kumtano mwanamke kingono hata kama haujalala nae ni uzinifu tayali
 
Mtu wa kiroho upande wa gizani, yes wana hizo nguvu na ndiyo ajira yao mchana na usiku.
 
[emoji16][emoji848]
[emoji848][emoji848][emoji849]
 
Zinaa wap na wewe.
Ukiwa na Demu mmoja ni zinaa?
 
"Aziniye na Ke hana akili"

Sawa mkuu, je aziniye na me ana akili?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Zinaa wap na wewe.
Ukiwa na Demu mmoja ni zinaa?
Mkuu zinaa ni nini..?.maana ukute hata hujui zinaa ni kitu gani.? Demu sio mke hivyo hiyo bado.ni zinaa. Muoe ndoa halali.iwe kanisani, msikitini, kimila au serikalin
 
Mkuu zinaa ni nini..?.maana ukute hata hujui zinaa ni kitu gani.? Demu sio mke hivyo hiyo bado.ni zinaa. Muoe ndoa halali.iwe kanisani, msikitini, kimila au serikalin
Biblia ndo inakufundisha hivo kuwa, ndoa lazima ifanyike kanisani wawepo na mashahidi na kuandikishana makaratasi.

Mwanamke na mwanaume hawawezi wakakubaliana wenyewe wawili kuwa sasa tuwe mke na Mume..???
 
Ili uwe mke na muwe lazima muhalalishwe hatua ya kwanza mritjiane, ya pili wazazi wajue na jamii ijue kuwa nyie ninmke na mume. Hivyo hizo za kuibana kukulana lodge nk ni.zinaaa tu. Usijiteteee. Kasome kua ndoa nini..?
 
Kuna mawili ninayo yajua ndio yaliyo kuponza

1.Ninavyojua mimi Mungu ndie mgawaji wa kila kitu na Mke mwema hutoka kwa Mungu sasa wewe uliyataka mapenzi yako wewe yalio kukuta ndio hayo

2.Uzinzi ni shida sana hasa kwa wanaume uliamua kupooza Mbupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…