Mrejesho na Msaada: Nifanye biashara gani ambayo kwa siku nipate faida ya 5000?

Njoo bitcoin jaribu ata kwa mtaji mdogo tu then utakuja kua shuhuda kwa wenzako pia nitafute wasapu no 0766055606
Mkuu hizi mm siziwezi kwenye hizi biashara mm sijui chochote ni tofauti sana na biashara ya karanga mkuu hii biashara ukielezewa ni kama ya kupata utajiri wa haraka ila tatizo wanao tangaza awana mafanikio sasa sijui kwann ila nashukuru kwa ushauri
 
Mkuu hizi mm siziwezi kwenye hizi biashara mm sijui chochote ni tofauti sana na biashara ya karanga mkuu hii biashara ukielezewa ni kama ya kupata utajiri wa haraka ila tatizo wanao tangaza awana mafanikio sasa sijui kwann ila nashukuru kwa ushauri
Umemjibu vizuri...kifupi hayo mambo ni utapeli tu
 
Daah uza samaki waziwani itapendeza zaidi
Mkuu asante kwa ushauri wako hii biashara nimeshajaribu kufanya uchunguzi niliwatafuta watu wanao uza samaki ni nzuri ila changamoto kubwa sana ningekuwa nafanya mm ningekomaa ila kwa kumpa mtu ni ngumu sana kufanya
 
Naomba ufafanuzi hapa chifu
 
Ili toroli kwa dar unalikodisha wapi
 
Uza matunda
Nunua vikapu viwili
Sahani zako za take away Pack matunda yako vizuri nenda mitaa ya makoroboi madukani sambaza matunda yako huko watu ni wengi lazima uuze
Sawa mkuu nitafanyia kazi ushauri wako
 
Nenda makoroboi au Lango lango nunua nguo za mitumba nzuri zikiwemo za watoto na wanawake kwa wingi weka kwenye Begi anza kutembeza hasa maeneo ya vyuo na kwenye taasisi, ingia mpaka maofisini, ukishanunua nguo inyooshe ili iwe na muonekano mzuri, kwa siku hukosi faida ya 10000/=kwa maana kwamba hapo utakuwa umeuza nguo 2~5 tu.
 
Mkuu nimekuelewa nakushukuru
 
Toroli hilo unalikodisha wapi? Hasa huku kwetu bomoabomoa imepita shughuli nyingi zimeathirika
 
Yeah utatosha kwa ssb wengi kwa mwz wanalipa eneo 3000/5000 per day so jaribu ukipata eneo wala sio ghali
Hii sishauri sana sababu biashara mpaka ije kuzoeleka! Na hako kamtaji kalivyo kadogo utafika kweli? Bora ufanye biashara ya kutembeza lakini utoe aibu
 
Mkuu nimekuelewa nakushukuru
Itabidi uwe mzoefu wa kilenga nguo nzuri wakiona hawaziachi, ukumbuke upatikanaji wa fedha kwa sasa si kama miaka iliyopita, ni vizuri kufanya biashara yenye mahitaji ya kimsingi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…