Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Msinishangae niko macho muda huu... Huu ndio wakati pekee naweza kufanya kitu kwa kutulia, hakuna kelele na akili imerelax (hata watoto wanaotafutwa muda huu huwa makini sana) wanaotafutwa saa sita mchana mmh[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji23]
Kwenye mada yetu ya tiba ya chumvi kumekuwa na maswali mengi huko kwa waziri mkuu... Kwa faida ya wengi nimeona baadhi ya majibu niyatoe hapa upenuni jukwaani
1. Kwanini baada ya kuogea chumvi mtu hupata/hulala usingizi mzito sana?
Jibu: chumvi ni kinga hasa huko kwenye ulimwengu wa roho, unapoitumia chumvi hukuletea kinga ambayo huzuia roho zote za mahangaiko na kuacha mwili ukiwa katika hali yake ya asili... Si kila unapokosa usingizi ni mawazo na stress sometimes ni roho zinazotangatanga ndio zunakukosesha usingizi
2. Je ni lazima kufuata formula ya siku 7, 14, 21,.....?
Jibu : hapana hii ni tiba huru isiyomfunga mtu na taratibu za kidunia, formula ya 7, 14, 21 ni jinsi tu ya kuweza kuweka kumbukumbu na utaratibu wa kawaida usioathiri nguvu husika kama usipofuatwa.. Unaweza kufanya mara nyingi na randomly kadiri uwezavyo
3. Je ni chumvi gani hufaa zaidi?
Jibu: Chumvi zote zinafaa lakini kipaumbele ni chumvi ya mabonge ya bahari na ya kuchimba kienyeji (hizi zina nguvu zaidi) tofauti na za viwandani ambazo kwa kiasi zimepoteza uasili
4. Je naweza kufanya ibada na kutumia chumvi?
Jibu: ndio kwa kuwa chumvi haina mahusiano na uchawi labda uchanganye mwenyewe na vingine
5. Je napaswa kunuia nini?
Jibu: Yale utakayo, kwa remedy ya kawaida huna haja ya kutamka chochote lakini kwenye shida nuia na kunia mema, huku ukizifukuza na kuziseta nguvu zote hasi, hakuna maneno rasmi kwenye hili
Haya ndio baadhi ya maswali yaliyoulizwa sana, nitajibu mengine yatakayojitokeza hapa na kule
Sent using Jamii Forums mobile app