Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
- Thread starter
- #281
hivi huu uzi wa kwanza ulifutwa? mbona kila niki click hii link nakutana na "blank page"?
Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza
Kuna msemo mmoja hivi mtu ukiwa unaandamwa na mikosi na hata kuchezea vibuti sana kwa watoto wazuri!!! Wanasema kaoge maji ya bahari.. Je haya maji huwa yanasaidia sababu ya chumvi yake au huwaga ni story za vijiweni mkuu mshana? Sent From Guest House Yani ni maji ya chumvi nyingi yanatakasa...