sijawahi hii, nichanganye ndimu, limau kiasi gani na chumvi kiasi gani?Maji ya ndimu au limau kusukutua kila siku ukiwa umechanganya na chumvi ushatumia?
Amina.. Shida hawa wazee hawakurithisha hizi elimuHii chumvi ya mawe Bibi yangu alikuwa ananitumilia kipindi Niko mzazi nikitoka kukifungua! Anachanganya na maji ya uvuguvugu Kisha unanawa sehem husika aisee daaahhh! Mungu msamehe makosa yake ampe pepo huko aliko! Niliona mafanikio yake
Muda ule wa kwenda kutiwa maji lazma ukutane nayo bafuni! Kwanza nilipona haraka Sana na vile nilipata shida kujifungua!
Chumvi ni kama antibiotic ya tiba mbadala inafanya mengi sanaMuda ule wa kwenda kutiwa maji lazma ukutane nayo bafuni! Kwanza nilipona haraka Sana na vile nilipata shida kujifungua!
Kama huamini tuachie tulioanza kuishi kabla ya sayansi unaweza kuta mshana anajua sayansi kuliko unavofikiriHUU NI USHIRIKINA PIA MKUU........HAKUNA UHUSIANO WOWOTE WA KISAYANSI KATI YA CHUMVI NA HIZO TIBA UNAZOSEMA................MKUU MSHANA JR, WEWE UNAHESHIMIKA SANA HUMU NA POST ZAKO ZINAKUWA VIEWERS WENGI.
KUWA MAKINI IBILISI ASITUMIE KIPAJI CHAKO VIBAYA.
WAAMBIE WATU WAMTEGEMEE MUNGU...
Chemistry ilikataa hiyo.. Mchanganyiko hauku tally ..tumia chumvi ndio catalyst yenye nguvu hapoShehe mimewahi kupewa dawa kibao mchanganyiko ikiwemo chumvi ili nitumie kutoa nuksi na mabalaa lakini wakat usiku nikilala nilikua naweweseka sana mpk nikaziogopa zile dawa
Kama ina uwezo huo kimwili basi tambua kiroho ni zaidiTiba pekee ya chumvi ni kuponyesha sehemu iliyojeruhiwa na kutoka damu mfano ajali ya kujichibua ngozi au kujikata au kujitoboa mwilini na kitu cha ncha kali damu ikatoka au kidonda cha muda mrefu kinachotoa usaha chumvi inatibu
Chumvi pamoja na ndulele ni kinga na tiba bora za nguvu hasi zote.. Wazazi wetu hapo zamani na wazazi wa wazazi wao waliamini kila ugonjwa una mkono wa nguvu hasi hivyo mtoto akipatwa na tatizo lolote la kiafya tiba ya kwanza ilikuwa hizoView attachment 1783964
Nimejifunza kuhusu chumvi kwani mama yetu tulipokuwa wadogo alikuwa anatupaka/sugua pale tulipokuwa tunau.wa. Mfano Tumbo likiuma anasugua/paka chumvi.
Nyingine hii hapo, mama yetu alikuwa anatusugua nayo bila kuipasua tuumwapo mfano kichwa na kuiweka kwenye moto/iunguza. Hii ilikuwa inasaidia nini@Mshanajr.
Ni kama moto au silaha inategemea unaitumiajeHii wanaita ndulele cjui washirikima waanatumia za nn
Huu uzi utaishi mpaka mwisho wa JF ,maana unasaidia/kumbusha/ fundisha watu wengi sana,namna ya kujililinda/tibu na nguvu hasi,
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] Asante sana mkuuHuu uzi utaishi mpaka mwisho wa JF ,maana unasaidia/kumbusha/ fundisha watu wengi sana,namna ya kujililinda/tibu na nguvu hasi,
Barikiwa sana mkuu kwa kutokuwa mchoyo
Kila kitu kina formula zake ukikosea huwezi pata majibu tarajiwaShekh hapa ni nini zinawez kuw sababu za chemistry ile kukataa ? Mpk nanii ile msaka uchaw ilikuwep na dawa zngine