Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

Nilikua nakuuliza kuhusu kuchoma chumvi vipi nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUU NI USHIRIKINA PIA MKUU........HAKUNA UHUSIANO WOWOTE WA KISAYANSI KATI YA CHUMVI NA HIZO TIBA UNAZOSEMA................MKUU MSHANA JR, WEWE UNAHESHIMIKA SANA HUMU NA POST ZAKO ZINAKUWA VIEWERS WENGI.

KUWA MAKINI IBILISI ASITUMIE KIPAJI CHAKO VIBAYA.

WAAMBIE WATU WAMTEGEMEE MUNGU...
 
Naheshimu mtazamo wako lakini mimi sijazungumzia kisayansi between unasoma vizuri Bible na kuielewa? Huu sio uchawi wala ushirikina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hem nipe maelezo kidogo kuhusu hayo matumizi ya chumvi,,, yan inatumikaje na unanena UKIWA unaitumia??



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niendelee kujibu hapa
Chumvi sanasana itakusaidia tu kukukinga na mambo mabaya ama nguvu hasi, huku ikikusafisha na kukupa mvuto
Chumvi haifanyi mambo mabaya kama kulipa visasi nk, labda tu uitumie kishirikina
Kwenye kunuia mambo mema chumvi inawekwa kwenye maji, maji ni uhai, kwenye kunuia mambo mabaya chumvi huchomwa moto, moto ni kifo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwili uliochafuka hupata shida nyingi za magonjwa uchovu na fadhaa na hata usingizi huwa wa mang'amunga'amu,.... Kiasili mtu anapolala hupaswa kulala kabisa ili kuupa nafasi mwili kujipumzisha, lakini kutokana na makandokando mengi ya kidunia, wengi hawalali vizuri.... Hivyo unapoanza tiba ya chumvi na mwili kuanza kusafishika utayaona mabadiliko hasa kwenye kulala... Yani utapata usingizi mzito hasa! Usiogope usitishike ni jambo la kheri hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…