Tumia kawaida kwa kuogea huku ukinuia hata mara tatu kwa siku sio shidaNimekufuatilia Mshana naomba kueleweswa zaidi je ukiitumia usiku au asubuhi ni vitu gani watakiwa kufanya au unafanya like maji ya Baraka kama kanisani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kunichosha ni jukumu langu, nayo tumia tu kawaida huku ukinia memaVipi kwa sisi Wa kanda ya kaskazini kuna magadi nayo hayana tatizo je nikitaka kumwogesha Mtoto nifanyeje ili hali umesema ninuie VP Mtoto nifanyeje samahani kwa ku2chosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitag na mimi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] habari yangu nzuri kaka, ila mshahara ushakata habari za sikuMshana ndio nini kudesa topic ya chumvi ya wamama wanayotumia???
Kwa nini lakini
Unajua wanaume wanachomewa chumvi siku hizi?
Kudadadeki wananyweeeeeeeaaaa (sasa ushawaharibia)
Itabidi watumie kifuu cha nazi ya chumvi washaijua
Anyway
Habari yako lkn?
Naomba kuuliza kipimo cha hiyo chumvi iwe kiasigani? unaikoroga kwenye Maji? Asante kwa mada zako nzuri.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] habari yangu nzuri kaka, ila mshahara ushakata habari za siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoo ya Lita 20 kiganja kimoja cha mkonoNaomba kuuliza kipimo cha hiyo chumvi iwe kiasigani? unaikoroga kwenye Maji? Asante kwa mada zako nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] habari yangu nzuri kaka, ila mshahara ushakata habari za siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi tudai mbuzi gharama zimepanda[emoji23] [emoji23] [emoji23]Salama
Kukata mshahara kawaida
Tuwekeze tu kilingeni aisee....hatutokosa majogoo wa mchuzi
Shukrani Mkuu bado naendelea kukufuatilia hata hivyo ntakapohitaji ushauri zaidi ntakufuata inbox Mkuu
Karibu muda woteShukrani Mkuu bado naendelea kukufuatilia hata hivyo ntakapohitaji ushauri zaidi ntakufuata inbox Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unaomba chumvi ifanye utakayo na si aliyekuumba???
Kuna mengi huyajui na naona husomi misahafu vizuri na kama unasoma basi huelewiYaani unaomba chumvi ifanye utakayo na si aliyekuumba???