Mrejesho: Nashkuru sana nimepata mtu niliyekuwa namtafuta.. Big Up to JF

Hongera sana. Bila shaka F atakuwa furaha yako nawe utakuwa furaha yake. Ni jambo la heri mtu kumpata mtu amfaaye.
 
Juz nilipost kutafta mwenza wangu, Namshkuru Mungu nimepata na mambo yanaenda vizur sana....thanks kwa wote waliotoa ushirikiano...Nakupenda "F" na karibu kweny maisha yangu
F au fa fa fa fa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…