Mrejesho: Nashkuru sana nimepata mtu niliyekuwa namtafuta.. Big Up to JF

Mrejesho: Nashkuru sana nimepata mtu niliyekuwa namtafuta.. Big Up to JF

Kumbe wewe ni 'Ke'?
hahaha
makeup.jpg
mi wa kushoto hapo
 
Juz nilipost kutafta mwenza wangu, Namshkuru Mungu nimepata na mambo yanaenda vizur sana....thanks kwa wote waliotoa ushirikiano...Nakupenda "F" na karibu kweny maisha yangu
Usubiri basi yale mambo usifanye kwanza mpaka mfunge ndoa kabisa.
 
Hongera sana. Bila shaka F atakuwa furaha yako nawe utakuwa furaha yake. Ni jambo la heri mtu kumpata mtu amfaaye.
We have just started....Although it feels right[emoji7]
 
Back
Top Bottom