Mrejesho: Nashkuru sana nimepata mtu niliyekuwa namtafuta.. Big Up to JF

Mrejesho: Nashkuru sana nimepata mtu niliyekuwa namtafuta.. Big Up to JF

ni.mzuri sana...hongera
SHKAMOO.jpg
SHKAMOO.jpg
 
Mapema sana ungesubiri kamuda kaende mana humu hakuaminiki wengi wanaleta mirejesho ya kupata mwisho wanalalamika yamewashinda
 
Mapema sana ungesubiri kamuda kaende mana humu hakuaminiki wengi wanaleta mirejesho ya kupata mwisho wanalalamika yamewashinda
kweli ee.... basi tuombe Mungu
 
Ila ndio hivyo lakini kutafuta mwenza mitandaoni kwa asilimia kubwa ni kutia mkono kizani
kweli kabisa inabidi ujitoe muhanga haswa sema ktk 10 ni wa moja au wawili wanafanikiwa kupata wenza walio sahihi
 
Jovitha for Isaac(J for I)
memez for F(M for F)
[emoji1][emoji1][emoji1]

Best luck for the new couple bebe memez
Tunazidi kusubiri mrejesho
 
Ni kama uraiani tu emmyta. Si unasoma humu waliokutana uraiani, maofisini na hata vyuoni wanavyolalamika humu kuhusu penzi? Unaweza kuingiza mkono gizani ukiwasha taa umeibuka na almasi au lulu.

Lakini mitandaoni kwa maoni yangu inaharibu sana mahusiano kwa sababu kuna so much negativity kuhusu mapenzi na wengine wanachokisoma mitandaoni wana kiamini kama vile kimeshushwa toka mbinguni.

Ila ndio hivyo lakini kutafuta mwenza mitandaoni kwa asilimia kubwa ni kutia mkono kizani
 
Back
Top Bottom