Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada anatamani kuacha ila huko aendako hakueleweki anaona asikose kote ila ndio hivyo kakosa kote acha arudi kwao.Yani hapo mwanaume kawahi tu ila nae alikuwa mbioni kuachwa na huyo dada Yani kamvizia 😀😀😀
Ndiyo tayari kashawahiwaYani hapo mwanaume kawahi tu ila nae alikuwa mbioni kuachwa na huyo dada Yani kamvizia [emoji3][emoji3][emoji3]
Kweli kabisaWataka kumuacha lakini huna pakuanzia. Jitafakari sana na tafuta pesa Kwa hasira sana. Inaonekana demu anakuzid uchumi au inaonekana unampenda kuliko mama Ako mzazi. Hawa mbwa wakikuzidi fedha au wakajua kwao hupindui watakufanyia vituko vyote.
Na haikua na haja ya kuhama ilitakiwa yeye ndio ahame au aondoke na uwambie wazazi wake ukweli, na umrudishe kwao kabisa, uwakabidhi furushi lao.
Huyo hakuwa na upendo nawe alikuwa anakupumzikia. Last option kama wengine hawatoeleweka.Acha tu mkuu..na huwezi amini toka ile Jumatatu kafanya tukio mpaka leo hajanitafuta kwa simu wala sms na mimi nishahama pale.Akienda hatoamini macho yake
Mkuu usisahau kutupa mwendelezo. Kuna la kujifunza hapaAcha tu mkuu..na huwezi amini toka ile Jumatatu kafanya tukio mpaka leo hajanitafuta kwa simu wala sms na mimi nishahama pale.Akienda hatoamini macho yake