Mrejesho: Nataka Kumuacha, sina pa kuanzia

Yani hapo mwanaume kawahi tu ila nae alikuwa mbioni kuachwa na huyo dada Yani kamvizia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Dada anatamani kuacha ila huko aendako hakueleweki anaona asikose kote ila ndio hivyo kakosa kote acha arudi kwao.
 
Mwanamke ni chombo cha STAREHE mle muache aliwe na wengine
 
Kama muvi vile dah Aaliyyah popcorn hazijaiva huko?

Mkuu umefanya jambo la maana sana kujiepusha na mtu ambae haeleweki.
Acha tu mkuu..na huwezi amini toka ile Jumatatu kafanya tukio mpaka leo hajanitafuta kwa simu wala sms na mimi nishahama pale.Akienda hatoamini macho yake
 
Kweli kabisa
 
Acha tu mkuu..na huwezi amini toka ile Jumatatu kafanya tukio mpaka leo hajanitafuta kwa simu wala sms na mimi nishahama pale.Akienda hatoamini macho yake
Huyo hakuwa na upendo nawe alikuwa anakupumzikia. Last option kama wengine hawatoeleweka.
 
Acha tu mkuu..na huwezi amini toka ile Jumatatu kafanya tukio mpaka leo hajanitafuta kwa simu wala sms na mimi nishahama pale.Akienda hatoamini macho yake
Mkuu usisahau kutupa mwendelezo. Kuna la kujifunza hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…