Mrejesho: Ni baada ya kupatiwa matibabu dhidi ya ugonjwa ulionikumba ghafla hadi kupelekea kulazwa hospitalini kwa siku mbili(2)

Gari ikichoka lazima ifanyiwe service, isipofanyiwa service kwa wakati litakuzimikia barabarani; ni hivyo hivyo ata kwenye mwili wa binadamu usipopelekwa gereji (hospitali) utaleta matatizo.

Ugua pole
 
Tupo pamoja mkuu, endelea kurecover taratibu na urudi kwenye majukumu yako ya kila siku.
 
So bado unaumwa ila ndiyo upo online au siyo
Nimepata unafuu sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sio kama ilivyokua hata simu sikuweza kuishika...Sasa makodinda makostaminaπŸ’ͺ
 
Gari ikichoka lazima ifanyiwe service, isipofanyiwa service kwa wakati litakuzimikia barabarani; ni hivyo hivyo ata kwenye mwili wa binadamu usipopelekwa gereji (hospitali) utaleta matatizo.

Ugua pole
Shukrani sana kaka! Nimeshapoa sasaπŸ’ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…