IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
- Thread starter
- #41
Thanks 🙏🏼Nice
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks 🙏🏼Nice
😂😂😂😂😂Kumbe huku kuna vyombo eeh
Wekeni picha zenu bna
Halafu nakutafuta
Amin! Nashukuru mungu naendelea vizuri sasa..Ubarikiwe sana🙏🏼Polesana
Mungu aendelee kukujaalia afyayako izidi kuimarika zaidi
Ahsante sana! Nashukuru mungu nipo poa sasa💪Pole sana mkuu
Ndiyo mkuuUmeona chuma hicho mkuu?
Amin! Nashukuru sana kaka💪Mungu ni mwema mkuu akupe afya njema urudi kwenye hali yako ya zamani 🙏🙏 dua zetu tu pamoja nawe
Yah I hope so! Ahsante sana💪Utarudisha mwili usijali
Naweza kukupa menu ya kurudisha mwili na vidonda kuponaYah I hope so! Ahsante sana💪
Sawa hamna shida naomba unipatie tafadhali..Naweza kukupa menu ya kurudisha mwili na vidonda kupona
Ahsante sana!Pona mapema 🙏
Sikuwa na lengo la kuonyesha kuwa nalia hapana ila umenielewa tofauti..Umelazwa siku mbili unalialia hivi, laiti ungejua kuna watu wanapitia makubwa kuliko yako basi usingedeka humu.
Halafu kuumwa ni ibada sasa nini kinachokufanya ulielie na kutia huruna hapa, unadhani pole za watu ndio zimekufanya upone? Ongea na Mungu wako.
PoaSawa hamna shida naomba unipatie tafadhali..
Chemsha samaki halafu ichemkee sana unywe na supu usiweke nyanya ni hivyo hivyo na chumvi kidogo sana , penda mayai, mboga ya majani ni spinach na salad usiweke nyanya weka karoti , kitunguu , penda mafuta ya majani olive oil , au elianto usiweke nyingi sana wastani ila izidi mboga kidogo , nyama ya ng'ombe na uchemshe bila kuweka chochote.
Sawa Ahsante sana nitazingatia haya ndio vitakua vyakula vyangu kuanzia sasa shukrani kwa msaada wa ushauri wako.Chemsha samaki halafu ichemkee sana unywe na supu usiweke nyanya ni hivyo hivyo na chumvi kidogo sana , penda mayai, mboga ya majani ni spinach na salad usiweke nyanya weka karoti , kitunguu , penda mafuta ya majani olive oil , au elianto usiweke nyingi sana wastani ila izidi mboga kidogo , nyama ya ng'ombe na uchemshe bila kuweka chochote.
Vizazi vitami, mihogo,siagi ya karanga , uji lishe weka blue band,kuku pia ni nzuri sana mwaya ukichemsha na kabeji kidogo Kwa mbali ila kabeji iliyo chemshwa tayari , ndio uweke kwenye hiyo supu penda karoti sana sio nyanya Tena na acha pombe good day