Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
Mungu akubariki kwa kunikumbusha nadhiri zangu tangu utotoni, sema ujana una mambo mengi sanaa ilaa nitarudiBaada ya kuomba ushauri hapa jukwaani, watu walichangia kwa hekima, kuna waliosisitiza nikatoe mahala ninapoabudu pia kuna walionishauri nikatoe kwa watu...
Jitahidi sana.Mungu akubariki kwa kunikumbusha nadhiri zangu tangu utotoni, sema ujana una mambo mengi sanaa ilaa nitarudi
Natamani Mungu anipe neema ya kuwa na vyanzo vya mapato vyote hivyo ili nitimize hayo yote.Kuna Zaka, Dhabihu na Malimbuko
Zaka - Madhabahuni kwa kuhani au Mtumishi wako
Hongera mkuu.
[/QUOTEWapo wengi sana, wengine ni tumbo moja, ..... Sihao tu hata mm mwenyewe na wife na watoto wangu tuna uhitaji,Hongera sana kwa hilo mdau,ni jambo jema na la heri but!
Nakumbuka ktk uzi wako huo wapo walioku-challenge kwamba “unatoka nje ya familia/ukoo wako kwenda kusaidia kwengine (sisemi ni jambo baya au umekosea lah) vipi ktk circle yako hukuwa na ndugu anayehitaji huo msaada?”
Nb;sina lengo la kumkosoa mleta mada najaribu kujifunza kitu hapa
NA MAANISHA TUNAUHITAJI NA HICHO KIDOGO TULICHOPELEKA.
Lkn je! Hiyo moja ya kumi ni yetu?
Wapo wengi sana, wengine ni tumbo moja, ..... Si hao tu hata mm mwenyewe na wife na watoto wangu tuna uhitaji,Hongera sana kwa hilo mdau,ni jambo jema na la heri but!
Nakumbuka ktk uzi wako huo wapo walioku-challenge kwamba “unatoka nje ya familia/ukoo wako kwenda kusaidia kwengine (sisemi ni jambo baya au umekosea lah) vipi ktk circle yako hukuwa na ndugu anayehitaji huo msaada?hakuna yatima yeyote ktk ukoo wenu,je hapo jirani labda?”
Nb;sina lengo la kumkosoa mleta mada najaribu kujifunza kitu hapa
Uko sahihi,Sijui kama hili uliliwaza vizuri!
Yatima aliye kituo cha kumlea ana uwezekano mkubwa wa kusaidiwa na watu/vikundi mbalimbali vinavyopenda kufanya hivyo kwa dhumuni lao maalumu but tukumbuke yatima aliye...
Iko kidogo ulichotoa Kwa Mungu ni kikubwa sana ...Baada ya kuomba ushauri hapa jukwaani, watu walichangia kwa hekima, kuna waliosisitiza nikatoe mahala ninapoabudu pia kuna walionishauri nikatoe kwa watu wenye uhitaji.
Pia kunawaliosema nikatoe ninapoabudu halafu pia nikatoe kwa wahitaji.
WOTE MLIOCHANGIA, NAWASHUKURU SANA.
Mm na mke wangu tulionelea tukatoe kwenye kituo cha yatima.
Si kwamba hatuheshimu madhabahu, Ni kwamba uwezo wetu kwa sasa ni duni hatuwezi kumudu kutoa sehemu zote mbili.
Hata huko kwa yatima tulikoenda tulienda kwa aibu, maana tulichonacho nikidogo mno.
Ila mkipata nafasi nendeni mkawaone hao watoto, maana kwa mujibu wa alietupokea ni kwamba several times wanalia uji.
Ni hayo tu.
ITOSHE KUSEMA AHSANTE KWA USHIRIKIANO
Very sadkwa mujibu wa alietupokea ni kwamba several times wanalia uji.
Very very sadVery sad
Ukienda watembelea kama una moyo mdogo ukiondoka pale hutorudi tenaVery very sad