Kama ni hivyo huko mtaan tungebaki vimbao mbao tu.Ungekuwa mzur na wowowo lipo ungeolewa,wanawake wanaotembea na waume za watu weng wao ni shapeless,hata huyu lazma atakuwa shapeless,ila mwanaume ndo umemkuta hoppless
Yeye anaamini mdada akiwa na tako tu ni tiketi ya ndoa moja kwa mojaSio kwamba wenye misambwanda ndio wanakuwa michepuko alafu vimbao mbao flat screen ndio tunaweka ndani
Kwa hiyo ticket ya ndoa ni nini? Ila bora kuwa na tako bwana kuliko kuwa flat screen...wenye tako wanahongwa sana ata kama ndoa hawapatiYeye anaamini mdada akiwa na tako tu ni tiketi ya ndoa moja kwa moja
Chai kama chaiWhy I feel tumepigwa?..
Tumetoa mapovu ya ushauri usikute ni utunzi mtupu..
We nicheke tu[emoji19][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16]Sasa flat screen mnatushaurije??Kwa hiyo ticket ya ndoa ni nini? Ila bora kuwa na tako bwana kuliko kuwa flat screen...wenye tako wanahongwa sana ata kama ndoa hawapati
Mjikubali....wapo wapendao flat screen[emoji16][emoji16]Sasa flat screen mnatushaurije??
AhsanteMjikubali....wapo wapendao flat screen
Yeah ndio hivyo. Wanawake wenzie wanaona kama mbususu zao wanazitoa zinaliwa bure bure🤣🤣🤣🤣Mkuu sana, ukweli ndio huo, hata kama ni stori ya kutunga lakini unaweza kuona response ya watu haswa wanawake, wanawake hawapendani na asilimia kubwa wengi wao hupatwa na uchungu kama wamekula ndimu karai zima kama wakimuona mwanamke mwenzao anafaidi kifedha, kimaisha, kimahusiano,n.k, comment pia kwa ujumla zinaashiria jinsi tunavyoangaliana kwa jicho la husda, inabidi kujilinda sana kila mmoja kwa imani yake, mana wachawi hua hawako mbali...
[emoji23]Naomba kisosi, hapa njombe kwa chai hii nitaungua mdomo tu