Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

Ungekuwa mzur na wowowo lipo ungeolewa,wanawake wanaotembea na waume za watu weng wao ni shapeless,hata huyu lazma atakuwa shapeless,ila mwanaume ndo umemkuta hoppless
Kama ni hivyo huko mtaan tungebaki vimbao mbao tu.
 
Sio kwamba wenye misambwanda ndio wanakuwa michepuko alafu vimbao mbao flat screen ndio tunaweka ndani
Yeye anaamini mdada akiwa na tako tu ni tiketi ya ndoa moja kwa moja
 
Yeye anaamini mdada akiwa na tako tu ni tiketi ya ndoa moja kwa moja
Kwa hiyo ticket ya ndoa ni nini? Ila bora kuwa na tako bwana kuliko kuwa flat screen...wenye tako wanahongwa sana ata kama ndoa hawapati
 
Hakika ilikuwa chai ...tulipoteza muda tu kuhangaika na huyu kiumbe...kwa Tanzania hii ya sasa plus uchumi wa dunia kuyumba namna hii hakuna mwanaume mwenye akili timamu wa kutapanya mali kiasi hicho ...narudia tulipoteza muda wa bure kushauri mtu wa chai kama huyu
 
Hakika ilikuwa chai ...tulipoteza muda tu kuhangaika na huyu kiumbe...kwa Tanzania hii ya sasa plus uchumi wa dunia kuyumba namna hii hakuna mwanaume mwenye akili timamu wa kutapanya mali kiasi hicho ...narudia tulipoteza muda wa bure kushauri mtu wa mizaha na chai kama huyu
 
Kama ni kweli na siyo Chai ya moto basi hongera sana yaani hiyo ni kuokota Dodo chini ya Mti.
 
Haya jamani, kwa mdada anayetaka mume wa mtu kama huyo wa wifi yenu hapo juu PM iko wazi... Karibu.
 
Kwa hiyo ticket ya ndoa ni nini? Ila bora kuwa na tako bwana kuliko kuwa flat screen...wenye tako wanahongwa sana ata kama ndoa hawapati
[emoji16][emoji16]Sasa flat screen mnatushaurije??
 
Mkuu sana, ukweli ndio huo, hata kama ni stori ya kutunga lakini unaweza kuona response ya watu haswa wanawake, wanawake hawapendani na asilimia kubwa wengi wao hupatwa na uchungu kama wamekula ndimu karai zima kama wakimuona mwanamke mwenzao anafaidi kifedha, kimaisha, kimahusiano,n.k, comment pia kwa ujumla zinaashiria jinsi tunavyoangaliana kwa jicho la husda, inabidi kujilinda sana kila mmoja kwa imani yake, mana wachawi hua hawako mbali...
Yeah ndio hivyo. Wanawake wenzie wanaona kama mbususu zao wanazitoa zinaliwa bure bure🤣🤣🤣🤣
Lazima iwaume bwana...wee chukulia tuu demu umgegede alafu umlie bati inawauma kinoma
 
Story za Kwa iddi makengo hizi
Mteja, kaka mim ni bint wa miaka 32 natembea na mume wa mtu kaninulia kiwanja ,kanijengea nyumba,kajitambulisha kwetu ,ila anaomba
Ni mbebe mimba
Iddi makengo ,dada nasema achana na huyo mwanaume ni mume wa mtu

Mrejesho wa mteja, kaka mim ni yule dada niliyekupigia simu nikakwambia natembea na mume wa mtu baada ya kubeba ujauzito huyo mwanaume kabadilika kweli Ata sjui nifanyeje
 
Matango pole siku hizi yanauzwa mjini, hahahahah, nitachangia hera ya kuchapisha kitabu sawa
 
Back
Top Bottom